cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,069
Nawee unacho?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Seriously nijibu.
Nawee unacho?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya kabla ya yotee weka picha, ili ukaribishwee mgeni wetu.Uduguu umenishinda [emoji119] [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu nakutafuta kumbe umejificha huku
Ndiwooo ndiwooo 🙃🤠!Wee usinambiee uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Semaa kweliii.
Hahaha khaa hii code nimeifungua Kwa tabu saana.Enjoy ur weekend, mmasai na Ini alitisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sioni akimtag tena [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088] Muwe na usiku mzuri. [emoji1635]
Wamasai WA daslam hawanaga. [emoji119][emoji119]Nawee unacho?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Seriously nijibu.
Haya kabla ya yotee weka picha, ili ukaribishwee mgeni wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chino anaielewa vizuri sana hiii😁!!Hahaha khaa hii code nimeifungua Kwa tabu saana.
Mna Siri saana nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumic mnoo uduguu akee, leo nikiwa sehemu nimejiziuka, nisiite jina lako lile ulolibadili, had nliyekua namuita anashangaa tyuuh.Cheka utanue mapafu udugu akee !!
Nicheke nilieOne day I used to call Mwachiluwi, Dahan, mshamba_hachekwi to tell them iam falling in love.
👉But they told me to focus on my career, coz love ain't for me
👉 Kwani mi Nina ninininini 😂😂🤣
Karibu sana selfika udugu akee!!🤩[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaweka avatar CW ila kanikata
Qnakukataa leoMi team yako ujue🤔, ko wewe Dahan na mshamba_hachekwi na Mwachiluwi mni tetee nimbebe Aaliyyah aende kambi yetu🤣😂
Wee muongooo sanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiwooo ndiwooo [emoji854][emoji1783]!
Karibu sana selfika udugu akee!![emoji2956]
Weee hebu nistue tsup udugu akee nani huyooo!!!Wee muongooo sanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu uduguuu kuna guy simuoni humu, wee hujagundua? Alikua fan wetuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nusu nimuulize, nikawaza yule asije akaniamshia na majini ya kichugaa woiiiiii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaweka avatar CW ila kanikata
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Wee muongooo sanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu nilainishee codes hapa, sijaelewaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nusu nimuulize, nikawaza yule asije akaniamshia na majini ya kichugaa woiiiiii.
Tuishi humohumooo mmasai jf chakaaa kubwaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ila JF ngumu saana. Watu Wana jinsia zaidi ya moja.
Dah...!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah kwann sasa nawee huna? Bas mkeo hafaidii.