Aisee mpaka nakuogopa, tabia hizi Ni za mshamba_hachekwi na Dahan π€, au nyie Ni ndugu was ukoo mmojaπ€£ππKwakweli sidhani sitaki unafki last year niligombana na mpenzwangu nilifikisha miez 8 nilikuwa kwenye depression Kali lakin niliteseka mno mwaka huu nafikir sita sitoboi na nikitoboa nipo mahututi πππ
Kwamba miez 6 michache au unatak had tufeπAisee mpaka nakuogopa, tabia hizi Ni za mshamba_hachekwi π€, au nyie Ni ndugu was ukoo mmojaπ€£ππ
Naam
πππ
Dahan na mshamba_hachekwi wanajua Nina scarcy ya Miaka mingapiπ€£ππKwamba miez 6 michache au unatak had tufeπ
Kama huna hisia za kimapenz na mtu ni kawaida lakini ukiwa na mtu mnaongea kuhusu mahusiano unahisia nae suala Hilo ni gumu mno linatak uvumilivu sanaDahan na mshamba_hachekwi wanajua Nina scarcy ya Miaka mingapiπ€£ππ
Naomba tafsiri besty, nataka ni_comment[emoji23][emoji23][emoji23]
ππAtakununiaπππNaendelea kushangaa anaombaje kama analazimisha huyu jamaaπππ
tukumbuke dogo ni nyuki wa mashineniππππNaendelea kushangaa anaombaje kama analazimisha huyu jamaaπππ
You have a leg of Beer π»ππNaomba tafsiri besty, nataka ni_comment
Huyo ni wewe au??Wee sheendwaa kakichwa kangu kama STD seven leaver [emoji1787][emoji1787][emoji16]!!
Na 5 kichwa Zangu sina habareeee[emoji2960][emoji2960][emoji1787]
Kitrambo sana mnywani saii wine nahisi imeshuka hebu niraree kwanzaa ππ!!Ushatupia mnywaniii!
dahhh! Na baridi nyuzi joto 7 Saba! Sasa Ni mwendo wa mtange tu!Kitrambo sana mnywani saii wine nahisi imeshuka hebu niraree kwanzaa ππ!!
ndiwooo ni mie mkuuu ! Walinipunyua nywele Zangu nikaamua kutonea upyaππ!!
Kwamba nini?Kitrambo sana mnywani saii wine nahisi imeshuka hebu niraree kwanzaa [emoji4][emoji4]!!