Mwee
Ushamba mzigo
Mm ninazo ambazo hazipo juu ya goti wala hazifiki mguuni
Huwa navaa nyumbani,najiangalia wee naona nimependeza
Ila tege sasa
Nilivaa kamoja last weekend nilikuwa na appointment na mzungu mmoja,,angalau nilipendezapo..ila nivyotoka nikafunga mtandio.