Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
ππππππππAiseeAsante dear
Eh niliteleza wakati navuka road aisee .. Nikajikuta niko chini gari hilo , namshukuru Mungu .
Hakuna kitu kinauma kama vidole ,nilivaa wigi nikavua ghafla sijui lilienda wapi πππ
Cocah njoo uchukue Cuzo AkoπππUtakubal kucheza baikoko na mm kitandan,,ukikubal ntaleta mm tena na migebhuka
Hakuna wa hivo dear ukipata hayo mawili ujue mengine kumi Hana kabisa ukipata angalau nusu ya unayoyatak bas toa sadaka πWapo aisee
Watu wote hawa duniani jamani
Sema kumpata ndo kipengele
Wapo aisee
Watu wote hawa duniani jamani
Sema kumpata ndo kipengele
πππKhaa ππππ
Eti mbibi π€£π€£
Mbona kazuri
Tena uzuri ni kafupi,ila kangekuwa karefu hapo sawa.
KhaaπππππLile ua ndo linakyfanya uonekane mbibi achana nalo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Lile ua ndo linakyfanya uonekane mbibi achana nalo
Nilikuwa na safari ya kwenda kariakoo ikaisha pale pale .ππππππππAisee
Dahππππππππππ
Likishavuka magotini sio fupi tena πππ
Aiseeπ₯ΊπππNilikuwa na safari ya kwenda kariakoo ikaisha pale pale .
Eeh jamani tumshukuru tu Mungu kwa neema zake .
Sema wew nduguπ€£π€£π€£π€£Tz hawapo
Endangered species haoTz hawapo
πππNingecheka hata nisingejali ningekupa pole badaeNilikuwa na safari ya kwenda kariakoo ikaisha pale pale .
Eeh jamani tumshukuru tu Mungu kwa neema zake .
Eeh sijaliona maaana nilivua baada ya kuvuka tena mara ya pili .Aiseeπ₯Ίπππ
Wigi halijaonekana hadi leo?
Leo nimekuja kulewa pombe za Tunduma, wanasema zinatoka Zambia πMkuu umewafata wahuni wa Tunduma.
Salimia saana baharia Wigelekelo mzee wa Kwa madiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hachelewi yule, ngoja aje πAtakuita mzee wa mchongo
Huyu jamaa amefichwa huko Lubumbashi na jishangazi amepotea kabisa
Hahahaa niliogopa aisee kidole cha mwisho kikapinda uwiiπππNingecheka hata nisingejali ningekupa pole badae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa jizungushee nawee.Mimi sitafuti nakaa kwa kutulia aje [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakutakaa wee cazee jomoneee.Cocah njoo uchukue Cuzo Ako[emoji23][emoji23][emoji23]