Sasa ninyi si mmekutana wote akili zenu zinafanana
yaani wewe na
Shunie ni pipa na mfuniko,, kitu ukiongea wewe yeye atakuja kupigilia msumari na kitu akiongea yeye wewe utakuja kupigilia msumari vile vile
Sasa imagine unafahamiana na ndugu ambaye akili haziendani mimi mtu wa matani yeye yuko kauzu kila pumba nitakazoandika humu lazima aje inbox kuniuliza eti "Karma ni wewe kweli ndiyo umeandika vile??"
yamewahi kunikuta instagram hayo sina hamu mimi