Safi.Moro, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii njia ukianza tyuuh kuitafuta Njombee km unakuja Dar, milima utaachana nayo ukishafika mikumii.
Safi sanaTuna andaa mitambo, kabla ya kuja kuenda vitani- somedayππ€£π€£
Ukishaukabidhi ubavu kwa mwenye nao, Chai lazima iwe nzito aiseee sio ya hapo kwenu ya Gombania Goli. Mkate mmoja mnakula watu 6 πππππππDah kumbe kunakuwaga Kuna chai nzito
Yeah kwa kweliWanawake mna korofishana na kununiana kirahisi sana.
Aisee kumbeIle kila siku inabadilishwa majina.
Kama sikosei inaitwa Mr Wine.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora huo wagombania goli.Ukishaukabidhi ubavu kwa mwenye nao, Chai lazima iwe nzito aiseee sio ya hapo kwenu ya Gombania Goli. Mkate mmoja mnakula watu 6 [emoji23][emoji23][emoji23]
Weee mm navopenda kula mkate ndo Nini,iyo ni unatafuna kabla ya chai ππUkishaukabidhi ubavu kwa mwenye nao, Chai lazima iwe nzito aiseee sio ya hapo kwenu ya Gombania Goli. Mkate mmoja mnakula watu 6 πππ
πππBora umenisemea, mbali shikamoo ukiamka mwili unauma umepigishwa kwata la nguvu usiku ndo unapewa afu tatu unywe chai akirudi Tena usiku ugomvi unaamka umenuna chai hainyweki ππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora huo wagombania goli.
Kuliko mkate wa shikamoo na kufungua geti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizuri gani Tena jamani
@Kapachino njoo unisaidie kutoa ufafanuzi.Kizuri gani Tena jamani
Unaandamwa π€£π€£π€£Kizuri gani Tena jamani
Ako vyedi sanaaaa!@Kapachino njoo unisaidie kutoa ufafanuzi.
Vile vile Antonnia njoo ujazie tunyamanyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππYaani kusema ukweli mmenikalia kooni kweliππUnaandamwa π€£π€£π€£
Maana kuna mada zaidi ya 3 humu Mhusika ni wewe. Halafu Timiza ahadi yako ya jana
Ulijifanya Msanii jana ukaandika Mashairi eti Hukomi. π€£ π€£ π€£πππYaani kusema ukweli mmenikalia kooni kweliππ
Niliahid nn kwani??
I missed you.Waifu matirioo huyoo hanaga mbambambaa kabesaaa pia anavaa kwa staraa jikoni ssasssaaa aiiiiihhh!!!!!!!
Asalaam aleykum!
πππ@Kapachino njoo unisaidie kutoa ufafanuzi.
Vile vile Antonnia njoo ujazie tunyamanyama.
Sent using Jamii Forums mobile app