Kuna moja ipo karibu na segerea kwa bibi inaitwaje ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahah ngapi?? Ukianzia tabata relini paka mbezi kuna baa chache 40 40 micassa kitambaa the great pale kites BL G7 then kibozone. Zimeisha...
Chache saaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Moro, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukisaidia wenye uhitaji, unapata furaha fulani hivii💪Money makes you glow aisee
Ni mwendo wa furaha tu .
Huna wasi wasi .
sumbai hapa Ume maanisha Nini??
Dogo una kitu utafika mbaliHata ukisaidia wenye uhitaji, unapata furaha fulani hivii💪
Pamepoaa saana pale. Halafu hawana wahudumu pisi kaliFlamingo Inn?? Umesahau [emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani mkuu, Afu mi sio dogo😂🤣.Dogo una kitu utafika mbali
Wewe ndo unaanza maisha lazima uitwe dogo😂Shukrani mkuu, Afu mi sio dogo😂🤣.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaa sanaaa, woiiiiih.
Dah imebidi nisimame nicheke😂🤣, 👉Ni kweli mkuu Sasa hivi nimebaki na shift 1 ya kazi, sijui wameona nafaidi😑😐Wewe ndo unaanza maisha lazima uitwe dogo😂
Ila wanawake mna dunia yenu nyingine, mnaitana kipenzi, dear, my love n.k, hayo maneno kwa upande wetu huku umuite rafiki yako hivyo hapo ni ngumi zinaanza zikisindikizwa na matusi mazito mazito😂Mambo dear .
Ko una fata piss na sio kinywaji🤣😂
Kweli bro hata kumuambia mwana 'asante' naona atanichukulia pushover, nasemaga tu 'poa bro'😂Ila wanawake mna dunia yenu nyingine, mnaitana kipenzi, dear, my love n.k, hayo maneno kwa upande wetu huku umuite rafiki yako hivyo hapo ni ngumi zinaanza zikisindikizwa na matusi mazito mazito😂
Hata rafiki yako akiwa amejazia kifua, ana six packs ama mkono kabla ya kumsifu lazima umpe tusi zito kwanza ndipo sifa inafuatia utasikia we mse... kmmk zako naona mkono umetoka! 😂
Kama unataka utengwe wenzio wajue ume left group we sema asee una kifua kizuri😂😂😂
Ukikoswa kofi ujue utatengwa.
Wanaume tuna dunia yetu😆
Ukisema asante- utasikia acha umama mjuba🤣😂😂Kweli bro hata kumuambia mwana 'asante' naona atanichukulia pushover, nasemaga tu 'poa bro'😂
Hakika aiseeHata ukisaidia wenye uhitaji, unapata furaha fulani hivii💪
Inabidi tu, ndo njia ya kujikinga na homos😂Ukisema asante- utasikia acha umama mjuba🤣😂😂
Au una mtext mwana mambo?Kweli bro hata kumuambia mwana 'asante' naona atanichukulia pushover, nasemaga tu 'poa bro'😂
Sio lazima upeleke kanisania au msikitini, Kuna jamii kubwa yenye uhitaji wa kweli.Hakika aisee
Wabarikiwe sana watoaji .