Selfika na JF: Snap it. Show it

usinichekesheee, kuna boda nusu aniwahishe aridhini kisa upumbavu wake wa kutaka kuwahi. Lol

Mbna alinishusha kwa lazimaa. Sitakii kabisaa
Mimi boda huwa namwambia kabisa kuwa kimbia ila kwenye taa usikatize kama hazijaruhusu

Vilema tayari ninavyo vya kutosha aisee.

Kwanza huwa napanda mara mojamoja sana nikishachelewa.

Kwa kweli bodaboda wa miaka hii sijui ndo kuvurugwa na maisha..
Hajali kabisa usalama wake.
 
Wanavuta ugoro sijui na Bhangi SASA wakiwa kwenye Boda Ile spidi wao hawaioni kabisaaa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cocastic

Pls one day take me to Songea. Natamani saana nipate sababu ya kwenda songea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie huku Dar sitaki boda boda, nawajua wamesha vurugwaa kabisaa.
Napanda zangu bajaji,

Boda labda nimuagize kitu, sio anipakizee mie thubutuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…