myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Jun 15, 2023 #341,341 Manyanza said: Amekuumbeni kutokana na nafsi moja. Kisha akamfanya mwenziwe katika nafsi ile ile.” (Surah Az-Zumar, Aya ya 6). Mwenye Ubavu wake umeshamkabidhi? Click to expand... Aisee
Manyanza said: Amekuumbeni kutokana na nafsi moja. Kisha akamfanya mwenziwe katika nafsi ile ile.” (Surah Az-Zumar, Aya ya 6). Mwenye Ubavu wake umeshamkabidhi? Click to expand... Aisee
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Jun 15, 2023 #341,342 Salam kwenu wadau
Ntiluseswa JF-Expert Member Joined Oct 22, 2021 Posts 670 Reaction score 2,278 Jun 15, 2023 #341,343 Kigi Makasi said: Ila jeifu wanakusudi sana, yaani picha hii tu ndo imefunguka kwenye app, zinginezo mpaka uende kwenye web. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hizo nyingine nizakipashikunaz ndomaana hazifunguk
Kigi Makasi said: Ila jeifu wanakusudi sana, yaani picha hii tu ndo imefunguka kwenye app, zinginezo mpaka uende kwenye web. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hizo nyingine nizakipashikunaz ndomaana hazifunguk
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2023 #341,344 Antonnia said: Nakupenda piahhhh udugu akeeee!! Mekumis hadi naumwaaaa!! Click to expand... 4revaaaaaaa!!!!
Antonnia said: Nakupenda piahhhh udugu akeeee!! Mekumis hadi naumwaaaa!! Click to expand... 4revaaaaaaa!!!!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2023 #341,345 Manyanza said: Believe my Words, Kikubwa ni uzima tu. Tunasongesha harakati kimya kimya. Halafu ingependeza wewe ukawa ni mtu wa PR lakini na wewe Unasomea Ma Course magumu magumu Click to expand... mie contractor wa mradi wa kuibadilisha songea, kuwa mpyaaa. Au wee unasemajee??
Manyanza said: Believe my Words, Kikubwa ni uzima tu. Tunasongesha harakati kimya kimya. Halafu ingependeza wewe ukawa ni mtu wa PR lakini na wewe Unasomea Ma Course magumu magumu Click to expand... mie contractor wa mradi wa kuibadilisha songea, kuwa mpyaaa. Au wee unasemajee??
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2023 #341,346 Bwana Fulani said: View attachment 2658836 Click to expand... Kuna mahali nimekuonaaa,
K Kigi Makasi JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,309 Reaction score 2,568 Jun 15, 2023 #341,347 Ntiluseswa said: Hizo nyingine nizakipashikunaz ndomaana hazifunguk Click to expand... Itakuwa ndo sababu aisee Sent using Jamii Forums mobile app
Ntiluseswa said: Hizo nyingine nizakipashikunaz ndomaana hazifunguk Click to expand... Itakuwa ndo sababu aisee Sent using Jamii Forums mobile app
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2023 #341,348 Mjep said: Umetisha sana chief cocastic unaitwa huku Click to expand... Abeeeeeh umemuona mtwasi mwenzio??
Mjep said: Umetisha sana chief cocastic unaitwa huku Click to expand... Abeeeeeh umemuona mtwasi mwenzio??
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2023 #341,349 Ntiluseswa said: View attachment 2658872 Click to expand... Cazee km cuzooooo Tishaaaa sanaaa
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2023 #341,350 Ntiluseswa said: Hizo nyingine nizakipashikunaz ndomaana hazifunguk Click to expand... Cazee umechachukas vibayaaa mnoo
Ntiluseswa said: Hizo nyingine nizakipashikunaz ndomaana hazifunguk Click to expand... Cazee umechachukas vibayaaa mnoo
Themann JF-Expert Member Joined Apr 15, 2022 Posts 3,844 Reaction score 16,094 Jun 15, 2023 #341,351 Habari zenu wakubwa
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jun 15, 2023 #341,352 cocastic said: Abeeeeeh umemuona mtwasi mwenzio?? Click to expand... Aisee nikizubaa huyu jamaa ananizidi kete wallah
cocastic said: Abeeeeeh umemuona mtwasi mwenzio?? Click to expand... Aisee nikizubaa huyu jamaa ananizidi kete wallah
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,112 Jun 15, 2023 #341,353 Aaliyyah said: Bado nazurura nao kwanza🤣🤣🤣 Click to expand... Kwahiyo Uliyemtunzia ubavu wake hajajitokeza ?
Aaliyyah said: Bado nazurura nao kwanza🤣🤣🤣 Click to expand... Kwahiyo Uliyemtunzia ubavu wake hajajitokeza ?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 15, 2023 #341,354 Mjep said: Aisee nikizubaa huyu jamaa ananizidi kete wallah Click to expand... Wee zubaa hivyo hivyo, si unasikiliza watu eeeh. Utashangaa nna pete kidolenii, ndo akili itakukaa sawaa.
Mjep said: Aisee nikizubaa huyu jamaa ananizidi kete wallah Click to expand... Wee zubaa hivyo hivyo, si unasikiliza watu eeeh. Utashangaa nna pete kidolenii, ndo akili itakukaa sawaa.
Ngulii Senior Member Joined Jun 15, 2023 Posts 127 Reaction score 203 Jun 15, 2023 #341,355 cocastic said: Wee zubaa hivyo hivyo, si unasikiliza watu eeeh. Utashangaa nna pete kidolenii, ndo akili itakukaa sawaa. Click to expand... Una mtosa mwenzio?
cocastic said: Wee zubaa hivyo hivyo, si unasikiliza watu eeeh. Utashangaa nna pete kidolenii, ndo akili itakukaa sawaa. Click to expand... Una mtosa mwenzio?
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jun 15, 2023 #341,356 cocastic said: Wee zubaa hivyo hivyo, si unasikiliza watu eeeh. Utashangaa nna pete kidolenii, ndo akili itakukaa sawaa. Click to expand... Nitaroga mtu Waniachie cocastic wangu
cocastic said: Wee zubaa hivyo hivyo, si unasikiliza watu eeeh. Utashangaa nna pete kidolenii, ndo akili itakukaa sawaa. Click to expand... Nitaroga mtu Waniachie cocastic wangu
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,524 Jun 15, 2023 #341,357 Manyanza said: Kwahiyo Uliyemtunzia ubavu wake hajajitokeza ? Click to expand... Sitaki ajitokeze Bado sijachoka kula ugali home
Manyanza said: Kwahiyo Uliyemtunzia ubavu wake hajajitokeza ? Click to expand... Sitaki ajitokeze Bado sijachoka kula ugali home
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,524 Jun 15, 2023 #341,358 Niwatakie usikumwema
Ngulii Senior Member Joined Jun 15, 2023 Posts 127 Reaction score 203 Jun 15, 2023 #341,359 Aaliyyah said: Niwatakie usikumwema Click to expand... Na wewe pia ,ulale unono
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,112 Jun 15, 2023 #341,360 Aaliyyah said: Sitaki ajitokeze Bado sijachoka kula ugali home Click to expand... Huko aliko na yeye anawaza tu lakini siku akianza kuudai kwa nguvu utakoma kutinga 🤣🤣🤣🤣
Aaliyyah said: Sitaki ajitokeze Bado sijachoka kula ugali home Click to expand... Huko aliko na yeye anawaza tu lakini siku akianza kuudai kwa nguvu utakoma kutinga 🤣🤣🤣🤣