Yes๐Ili niende kwake?
Dah ๐๐๐๐๐๐
Pole sanamshamba_hachekwi
Waambie ndugu zako 3 mzuka k.mam.ae zao ๐กLeo nimewachukia ๐คฎ๐คฎ
Since day moko hapa mjini nishaambiwa ikifika saa 12 usiende mjini na mkoba ๐คฃ
Na ukienda nae macho yako yawe mkobani muda wote.
Leo bana mepanda zangu town,, sikutegemeea kukawia sana so nikaenda na toyo go& return.
Wakati wa kurudi Njiro sasa, toyo si akapita short cut ya bia!! The Don huku mpk bwawani aje kutokea reli.
Basi tumefika bwawani katikati,. Ikatokea toyo ina watu wawili inatusogelea.
Ni ghafla bin vuuu toyo wangu anaambiwa asimame, mara mkoba ukavutwa ๐คฃ๐คฃ
Uzuri nishapewaga tahadhari so mkoba wangu nilikuwa nimeushika tight sana tokea mwanzo.
Wakashindwa kuutoa, toyo yao ikaayumba, yetu ikapepea.
Namshukuru Mungu tumekuwa salama.
Toyo wangu ametetemeka mpk huruma, ananishangaa mm kwanini sijapata mshtuko.
Lenie
Ka aifon kangeenda na leo ๐คฃ
Ningelog in kwa mtu kesho nikafungilie mbali kama kale ka mwanzo.
Daahh..dogo pole saรฑa dear Mpk umetukanaamshamba_hachekwi
Waambie ndugu zako 3 mzuka k.mam.ae zao [emoji35]Leo nimewachukia [emoji2961][emoji2961]
Since day moko hapa mjini nishaambiwa ikifika saa 12 usiende mjini na mkoba [emoji1787]
Na ukienda nae macho yako yawe mkobani muda wote.
Leo bana mepanda zangu town,, sikutegemeea kukawia sana so nikaenda na toyo go& return.
Wakati wa kurudi Njiro sasa, toyo si akapita short cut ya bia!! The Don huku mpk bwawani aje kutokea reli.
Basi tumefika bwawani katikati,. Ikatokea toyo ina watu wawili inatusogelea.
Ni ghafla bin vuuu toyo wangu anaambiwa asimame, mara mkoba ukavutwa [emoji1787][emoji1787]
Uzuri nishapewaga tahadhari so mkoba wangu nilikuwa nimeushika tight sana tokea mwanzo.
Wakashindwa kuutoa, toyo yao ikaayumba, yetu ikapepea.
Namshukuru Mungu tumekuwa salama.
Toyo wangu ametetemeka mpk huruma, ananishangaa mm kwanini sijapata mshtuko.
Lenie
Ka aifon kangeenda na leo [emoji1787]
Ningelog in kwa mtu kesho nikafungilie mbali kama kale ka mwanzo.
Imekula kwake hyo๐Yes๐
Ahsante mkuu.Pole sana
Nasikiaga tu story zao hao 3 mzuka.. leo sasa uso kwa uso ๐๐Daahh..dogo pole saรฑa dear Mpk umetukanaa
Hawa wezi wa kwenye boda nuksiii...mi nishakoswakoswa wakatukana bonge la tusiii
Uwiii ingeenda tena na leo aki ningekushauri tu urudi kwenye tecno๐คฃ๐คฃmshamba_hachekwi
Waambie ndugu zako 3 mzuka k.mam.ae zao ๐กLeo nimewachukia ๐คฎ๐คฎ
Since day moko hapa mjini nishaambiwa ikifika saa 12 usiende mjini na mkoba ๐คฃ
Na ukienda nae macho yako yawe mkobani muda wote.
Leo bana mepanda zangu town,, sikutegemeea kukawia sana so nikaenda na toyo go& return.
Wakati wa kurudi Njiro sasa, toyo si akapita short cut ya bia!! The Don huku mpk bwawani aje kutokea reli.
Basi tumefika bwawani katikati,. Ikatokea toyo ina watu wawili inatusogelea.
Ni ghafla bin vuuu toyo wangu anaambiwa asimame, mara mkoba ukavutwa ๐คฃ๐คฃ
Uzuri nishapewaga tahadhari so mkoba wangu nilikuwa nimeushika tight sana tokea mwanzo.
Wakashindwa kuutoa, toyo yao ikaayumba, yetu ikapepea.
Namshukuru Mungu tumekuwa salama.
Toyo wangu ametetemeka mpk huruma, ananishangaa mm kwanini sijapata mshtuko.
Lenie
Ka aifon kangeenda na leo ๐คฃ
Ningelog in kwa mtu kesho nikafungilie mbali kama kale ka mwanzo.
Pole sana Miss Depal naona maeneo ya Mwananyamala wanafanya mpaka practical jinsi ya kupora maana wanakuwa watatu halafu wana practice ๐๐๐mshamba_hachekwi
Waambie ndugu zako 3 mzuka k.mam.ae zao ๐กLeo nimewachukia ๐คฎ๐คฎ
Since day moko hapa mjini nishaambiwa ikifika saa 12 usiende mjini na mkoba ๐คฃ
Na ukienda nae macho yako yawe mkobani muda wote.
Leo bana mepanda zangu town,, sikutegemeea kukawia sana so nikaenda na toyo go& return.
Wakati wa kurudi Njiro sasa, toyo si akapita short cut ya bia!! The Don huku mpk bwawani aje kutokea reli.
Basi tumefika bwawani katikati,. Ikatokea toyo ina watu wawili inatusogelea.
Ni ghafla bin vuuu toyo wangu anaambiwa asimame, mara mkoba ukavutwa ๐คฃ๐คฃ
Uzuri nishapewaga tahadhari so mkoba wangu nilikuwa nimeushika tight sana tokea mwanzo.
Wakashindwa kuutoa, toyo yao ikaayumba, yetu ikapepea.
Namshukuru Mungu tumekuwa salama.
Toyo wangu ametetemeka mpk huruma, ananishangaa mm kwanini sijapata mshtuko.
Lenie
Ka aifon kangeenda na leo ๐คฃ
Ningelog in kwa mtu kesho nikafungilie mbali kama kale ka mwanzo.
๐๐๐๐ Watu wa pande hizo wana tamaa sana kipindi fulani nilikuwa Zanzibar kuna Mmasai alitatuliwa na Waitaliano na Nnyaa kibao baada ya kuishobokea 100 dola mpaka alikufa.Nasikiaga tu story zao hao 3 mzuka.. leo sasa uso kwa uso ๐๐
Mwaka wa 4 huu mjini af wao wanataka kufanya niichukie Arusha. Mbwa kabisa haya machalii un educated!!.
Ndio maana watu wa Dar wanayaambia yanatatuliwa rinda na wazungu sbb ni kama hizi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nirudi kwenye hiace/ indrive gari. Boda za jioni mie basiiiii
Hatari sana yaani Upambavu hauna bei na hapo wanakuwa wametoka kuvuta bangi na mazungumzo yao sasa hivi ni mkataba wa Bandari utadhani hata zile boti za Azam kwenda Zanzibar wameshawahi kupanda. ๐Serious?๐คฃ๐คฃ
Polesanamshamba_hachekwi
Waambie ndugu zako 3 mzuka k.mam.ae zao ๐กLeo nimewachukia ๐คฎ๐คฎ
Since day moko hapa mjini nishaambiwa ikifika saa 12 usiende mjini na mkoba ๐คฃ
Na ukienda nae macho yako yawe mkobani muda wote.
Leo bana mepanda zangu town,, sikutegemeea kukawia sana so nikaenda na toyo go& return.
Wakati wa kurudi Njiro sasa, toyo si akapita short cut ya bia!! The Don huku mpk bwawani aje kutokea reli.
Basi tumefika bwawani katikati,. Ikatokea toyo ina watu wawili inatusogelea.
Ni ghafla bin vuuu toyo wangu anaambiwa asimame, mara mkoba ukavutwa ๐คฃ๐คฃ
Uzuri nishapewaga tahadhari so mkoba wangu nilikuwa nimeushika tight sana tokea mwanzo.
Wakashindwa kuutoa, toyo yao ikaayumba, yetu ikapepea.
Namshukuru Mungu tumekuwa salama.
Toyo wangu ametetemeka mpk huruma, ananishangaa mm kwanini sijapata mshtuko.
Lenie
Ka aifon kangeenda na leo ๐คฃ
Ningelog in kwa mtu kesho nikafungilie mbali kama kale ka mwanzo.
Dada Deborah wa form 4 liva, una Roho ya kichalii kabisa๐๐๐Lenie in case of anything ๐๐
Maana naona hii simu haitaki niwe nayo.
Ikipotea tukose wote
Abaki na kopo, na venye password yangu ya Apple ID ilivyo ngumu.
Atauza skrepa.
View attachment 2657614
Ikienda tunanuna nyingine tena, kwani sh ngapiLenie in case of anything ๐๐