Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mbona hamna nyama?Njoo ule kwaza una njaa wewe
Mbona hamna nyama?Njoo ule kwaza una njaa wewe
Leo sina ratiba ya nyama nyama ilikuwa janMbona hamna nyama?
Unazingua sasa, nyama ina ratiba?Leo sina ratiba ya nyama nyama ilikuwa jan
Daddie me I want to party
Daddie! Me I want to party
Oyahh daddie me I want pa paa paa
Oyahh mwenzenu mimi
😂😂😂
Lenie[/US ER]
[/QUOTE]
unanyege wewe sio bure
Kilo 9000 kaka nitakuwa nakula kila siku mimi msai si bora nile njiwa 😂Unazingua sasa, nyama ina ratiba?
Njiwa tena🤣Kilo 9000 kaka nitakuwa nakula kila siku mimi msai si bora nile njiwa 😂
KIjana wako Intelligent businessman naona kanimind kwa maneno ya utani tu😅Mimi ndio mzee wa kubeba misala yote😅
Dio mtamu njiwaNjiwa tena🤣
usibembeleze mwanaume.... ever.KIjana wako Intelligent businessman naona kanimind kwa maneno ya utani tu😅
Kula nyama nyamaza😅Dio mtamu njiwa
Very true👊usibembeleze mwanaume.... ever.
Niombee niwe na mapea mengi mwaka uhuu nataman kufungua NGOs yangu natafuta wazungu na wazamini kama wewe 😂Kula nyama nyamaza😅
Leo afe kipa afe bekii.Yani mpira wa ulaya ulivo hautabiriki utashangaa Inter Milan ndio wanabeba binafsi natamani leo Man City waweke rekodi yao asee, baada ya hapo next season naiombea PSG nayo waweke rekodi yao wakiwa na Mbappe kama hataondoka dirisha hili, maana naona ndio Lengo lake kuacha historia pale Paris ndio maana hataki kusepa
Itawezekana wala usihofu endelea kupambanaNiombee niwe na mapea mengi mwaka uhuu nataman kufungua NGOs yangu natafuta wazungu na wazamini kama wewe 😂
I mean no malice to nobody, we are cool bro🙏💪.KIjana wako Intelligent businessman naona kanimind kwa maneno ya utani tu😅
Oya mshamba_hachekwi mshauri huyu dogo, hai wazungu wasije kuwa 🤔🤣😂😂Niombee niwe na mapea mengi mwaka uhuu nataman kufungua NGOs yangu natafuta wazungu na wazamini kama wewe 😂
Asante sana mkuu kwnye uzinduzi tutakuita kama mgeni rasmiItawezekana wala usihofu endelea kupambana
Go brother, I pray for yah🙏💪Asante sana mkuu kwnye uzinduzi tutakuita kama mgeni rasmi