Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,619
- 4,154
Kwa mfuga paka tena oooh nooSakina kwa mfuga paka
Nina allergy na the so called pets🏃🏃
Kwa mfuga paka tena oooh nooSakina kwa mfuga paka
Njoo unikope mimi sasaWhy me
Alianza dada yangu wa kwaza kuzaliwa kunikopa pesa akakimbia nayo mitini nikanyamaza kimya akaja tena ndugu yangu mwingine kanikopa akakimbia miti
Ndani ya uho mwezi nikapewa tenda ya kuvalisha watu wa mwenge katika halmashauri fulani nikaagiza vitenge kongo nikatapeliwa nikaingia kwenye kukopa tena mtu ili kukamilisha iyo tenda
Baada ya muda fulani tena rafiki yangu wakaribu kanishauri juu ya kuwekeza mtandaoni paymara nikaingia kumbe nae ni tapel kanitapeli kama laki na nusu sijakaa sawa nakutana na rafiki yangu wa shule ya upili yaani sekondary sehemu nilio kuwa nafanya kwa mkataba baada ya muda kaja akaniambia kuna mchongo nikauelewa ule mchongo nikajua napiga pesa ndefu sana nikaingia king kumbe nikutapel taasisi bila kujua nikaingia mtegoni kuja kufumbua macho nakuja kugundua ni tapel wakat uho nishaliwa laki tatu ambayo ilikuwa hela ya chakura end of the day unajikuta una madeni mengi hujui pakuanzia tena unaomba msaada kwa ndugu ambao ulikuwa unawasaidia kipindi icho ulipo pata mirathi yako nao wanakukimbia
Unabaki kujiuliza kwnini watu wakutapel hawana huruma mtu anakutapel af anakwambia nenda popote pale mwingin anakuambia karibu machungwa kila ukipiga namba hapokei
Naogopa madeni siwezi kukopa jana nimetoka kuuza cm yangu nilikuwa naipenda sanaNjoo unikope mimi sasa
Hapa nilipo nimepotea tayari😅Shemeji hakikisha unapotea kama Mbosso Jack Palladino
Fungulia uzi hii kijanaWhy me
Alianza dada yangu wa kwaza kuzaliwa kunikopa pesa akakimbia nayo mitini nikanyamaza kimya akaja tena ndugu yangu mwingine kanikopa akakimbia miti
Ndani ya uho mwezi nikapewa tenda ya kuvalisha watu wa mwenge katika halmashauri fulani nikaagiza vitenge kongo nikatapeliwa nikaingia kwenye kukopa tena mtu ili kukamilisha iyo tenda
Baada ya muda fulani tena rafiki yangu wakaribu kanishauri juu ya kuwekeza mtandaoni paymara nikaingia kumbe nae ni tapel kanitapeli kama laki na nusu sijakaa sawa nakutana na rafiki yangu wa shule ya upili yaani sekondary sehemu nilio kuwa nafanya kwa mkataba baada ya muda kaja akaniambia kuna mchongo nikauelewa ule mchongo nikajua napiga pesa ndefu sana nikaingia king kumbe nikutapel taasisi bila kujua nikaingia mtegoni kuja kufumbua macho nakuja kugundua ni tapel wakat uho nishaliwa laki tatu ambayo ilikuwa hela ya chakura end of the day unajikuta una madeni mengi hujui pakuanzia tena unaomba msaada kwa ndugu ambao ulikuwa unawasaidia kipindi icho ulipo pata mirathi yako nao wanakukimbia
Unabaki kujiuliza kwnini watu wakutapel hawana huruma mtu anakutapel af anakwambia nenda popote pale mwingin anakuambia karibu machungwa kila ukipiga namba hapokei
SawaFungulia uzi hii kijana
How old are you?Why me

32How old are you?
Ongeza portion 😍😋Anzia hapa....View attachment 2652194
Nasubiri uzi..Sawa
tafta msaada wa kiroho kijana usije ukafanya maamuzi magumu..... unaonekana umefikia breaking pointWhy me
Alianza dada yangu wa kwaza kuzaliwa kunikopa pesa akakimbia nayo mitini nikanyamaza kimya akaja tena ndugu yangu mwingine kanikopa akakimbia miti
Ndani ya uho mwezi nikapewa tenda ya kuvalisha watu wa mwenge katika halmashauri fulani nikaagiza vitenge kongo nikatapeliwa nikaingia kwenye kukopa tena mtu ili kukamilisha iyo tenda
Baada ya muda fulani tena rafiki yangu wakaribu kanishauri juu ya kuwekeza mtandaoni paymara nikaingia kumbe nae ni tapel kanitapeli kama laki na nusu sijakaa sawa nakutana na rafiki yangu wa shule ya upili yaani sekondary sehemu nilio kuwa nafanya kwa mkataba baada ya muda kaja akaniambia kuna mchongo nikauelewa ule mchongo nikajua napiga pesa ndefu sana nikaingia king kumbe nikutapel taasisi bila kujua nikaingia mtegoni kuja kufumbua macho nakuja kugundua ni tapel wakat uho nishaliwa laki tatu ambayo ilikuwa hela ya chakura end of the day unajikuta una madeni mengi hujui pakuanzia tena unaomba msaada kwa ndugu ambao ulikuwa unawasaidia kipindi icho ulipo pata mirathi yako nao wanakukimbia
Unabaki kujiuliza kwnini watu wakutapel hawana huruma mtu anakutapel af anakwambia nenda popote pale mwingin anakuambia karibu machungwa kila ukipiga namba hapokei
Ila we dogo 😀😀
Karibu kwanza tule chungwa huku tukijadiliana.Why me

nikajua uko serious kumbe bado unafanya utani....
Ni mwepesi kumuamini mtuKaribu kwanza tule chungwa huku tukijadiliana.
Why always you.
Age yangu haihusian hapo mzeenikajua uko serious kumbe bado unafanya utani....
Mtoto wenge sana huyo 🤣nikajua uko serious kumbe bado unafanya utani....
Unachukulia utani wewe kila kituMtoto wenge sana huyo 🤣
sema kama ni serious inabidi akae karibu na watu, hii ni sonona MwachiluwiMtoto wenge sana huyo 🤣