Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Lakini bado watu wataondoka then utabaki pekeyyakosema kama ni serious inabidi akae karibu na watu, hii ni sonona Mwachiluwi
Lakini bado watu wataondoka then utabaki pekeyyakosema kama ni serious inabidi akae karibu na watu, hii ni sonona Mwachiluwi
hio ishu ya kutapeliwa na mikopo sio tatizo zima..... inaonekana una matatizo mengine kwenye maisha yako, hii ishu ya kutapeliwa ndo kama imeongeza maumivu..... tafuta msaada kwa wataalam wa kisaikolojia au watu wa kiroho....Lakini bado watu wataondoka then utabaki pekeyyako
Sasa sisi tunahusiana vp na madeni yako uliyokopesha ndugu zako 🤪Age yangu haihusian hapo mzee
Hahaha ndio mana nashangaa mbona kama kuna kitu hakijakaa sawaa haaaa kumbe watru wapo kifungonii kitramboo jamaneee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usi msikilize huyo babee wangu.Ni swala la muda mjomba[emoji28][emoji28]
Hahahaha kuna watu wamewekwa kabatini??Hahaha ndio mana nashangaa mbona kama kuna kitu hakijakaa sawaa haaaa kumbe watru wapo kifungonii kitramboo jamaneee!!
Lol nina jipya basiii Sina hata mpya mkuu usijaree nikipiga ntakuita
Yani mpira wa ulaya ulivo hautabiriki utashangaa Inter Milan ndio wanabeba binafsi natamani leo Man City waweke rekodi yao asee, baada ya hapo next season naiombea PSG nayo waweke rekodi yao wakiwa na Mbappe kama hataondoka dirisha hili, maana naona ndio Lengo lake kuacha historia pale Paris ndio maana hataki kusepaThe citizens
[emoji170][emoji170]
Hallah
Tuna jambo letu leo pale Istanbul,[emoji120][emoji120]
Why not us???
UEFA final.View attachment 2652326
safi sana ila umezingua kunyonya lips😂
Acha ubwege wako hahahahhah nikiwe ivyo azionekan😂😂safi sana ila umezingua kunyonya lips😂
jikubali tu yaisheAcha ubwege wako hahahahhah nikiwe ivyo azionekan😂😂
mimi naondoka huu msala namuachia Jack Palladino 😂Ahaya hapo vip mzee
Nisha usolve kabisamimi naondoka huu msala namuachia Jack Palladino 😂
Hazikuwepo juzi but still hizo tunaita malaika🤣
Mimi ndio mzee wa kubeba misala yote😅mimi naondoka huu msala namuachia Jack Palladino 😂
Njoo ule kwaza una njaa weweHazikuwepo juzi but still hizo tunaita malaika🤣