Sakayounikome nimecheka sana
Bora mpendwa umewakumbusha.
Niko mbali huku sijaziona, nitaagiza wadogo zangu waje nazo wakija kunitembelea likizo.
Sikulagi kwa watu mimi jamaniTonight naomba ukuje nikupe ukwaju mwingine
Tuwaoneshe mfano wajue kwamba tuna maanisha anza mpendwaEmbu waoneshe mfano
Sakayounikome nimecheka sana






Okee okeeSio ya sakayo nataka yako Desree na sitanii
Hahahahah
Mimi pozi la kusimama huwa linanishinda ila wewe ndo linakupiga chenga kabisaa jamani!!
Acha uchoyo jamani, tuma kwangu nimtumie!Sio ya sakayo nataka yako Desree na sitanii
mimi sio mtu sasaSikulagi kwa watu mimi jamani
HahahahahahaBasi wewe muungwana sana
Kumbe nani eti jamanimimi sio mtu sasa
Usiku mwema.
We inye yako iko wapi?Hz unazotuma mmejificha jificha hazifai Mana naona sura Sasa wengne tunapenda kuona mna inye kias gani nyiny wa ubavu wa kushoto..