Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah ni kweli, miaka yetu wakati tunakuwa, hayo mambo ya Burger sijui Pizza hayakwepo kabisa.

Sikuhizi ni kawaida kumkuta dogo wa class V ana kilo 60 kutokana na hayo mavyakula.

Dokta Issac Ndodi alikuwa anasema Turudi Edeni 😜
Halafu madogo wamekuwa walaini sana unakuta toto la kiume lina mapaja laini kama demu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…