National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
tunakuaga kama mazezeta hivi 😅😅 tunakaa sawa baada ya kupiga baoHahhaa hapo lazima kidume uone dunia yote yako 😅😅😅
tunakuaga kama mazezeta hivi 😅😅 tunakaa sawa baada ya kupiga baoHahhaa hapo lazima kidume uone dunia yote yako 😅😅😅
Wazungu wakishatoka ndo akili huwa zinaturudiaga hapo hata kama alikuwa pisi kali imesimamia ukucha unamuona wa kawaida 🤣🤣🤣tunakuaga kama mazezeta hivi 😅😅 tunakaa sawa baada ya kupiga bao
Naruhusiwa ku-order chakuondoka nacho pia....?😀🙈Umeona eeh🍖🍖🍖😊
Najua Hilo kitambo, hata Kuna kampuni Warren aliipat. Kutokana na ujuzi wakeBen ni mentor wa Warren Buffet
Ndio maana baadhi ya investors wakubwa duniani husema Think like Benjamin Graham and invest like Warren Buffet
Miss yah, rudisha avatar ya zamani😜Asantreeeeeeeeeeeh 🕺🕺!
Hauna ka selfii ka karibu hapo mchana wangu uanze vizure mkuu???
Do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😉!
Wewe tu😊Naruhusiwa ku-order chakuondoka nacho pia....?😀🙈
Senkyuu kichaaa akee..Miss yah, rudisha avatar ya zamani😜
Bro utukumbuke na masela😂🤣🤣,Wewe tu😊
🤣🤣🤣Bro utukumbuke na masela😂🤣🤣,
Dah ile ya unywele na kisura Ni tamu😜🤣🤣Senkyuu kichaaa akee..
hii ndio tamu banaaa!! Mnatuchamba sanaaa kisa Avatar fekii hizi 😂😂
SI ndo tutakubeba ujue🤣😂😂🤣
Wazee tunashauriwa kunywa maziwa kwa wingi ili kuongeza kinga za mwili🤗Maziwaa kwa afyaaaaa !! Safi sanaaa babu!!
Kile sio changuu hiki ndio kisura changu sasa!! 😁😁😁😂!!Dah ile ya unywele na kisura Ni tamu😜🤣🤣
Naelewa umuhimu wa masela😅SI ndo tutakubeba ujue🤣😂😂🤣
Wazee tunashauriwa kunywa maziwa kwa wingi ili kuongeza kinga za mwili🤗
Ninyi Vijana mnashauriwa kunywa maziwa lakini msisahau kula nyama.
Wine mnatakiwa kunywa glass 1 kila wiki, tena ile Wine nyekundu 🍷
Wala haipendwi sura, tunapenda Moto😂😜🤣🤣Kile sio changuu hiki ndio kisura changu sasa!! 😁😁😁😂!!
Kwamba hiki unaona unachat na Asha Ngedere?!😁😁😂
Sasa ndio mniwache na avatar yanguu mieee 😊!!Wala haipendwi sura, tunapenda Moto😂😜🤣🤣
Ila wengine zile Wine nyekundu zinakimbilia nanii kule nanii......kwahiyo vyema unywe Mjeshi akiwa amerudi 🏃🏃Kunbeeh?? Kweli panapo wazee hakiharibiki kituuu..
Wabheja sana babuu
Ole wako wako utukatae, Afu uje hospital utukute. Tutakufanyia hivi🤣🤣🤣😂Naelewa umuhimu wa masela😅
Wala huyo SI wewe🤣😂😂Sasa ndio mniwache na avatar yanguu mieee 😊!!