National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π π banaa shetani ana nongwaa sana . yani unafanya harakari unawaza home tu.. ile umemaliza shwaa home.. unakuta mtoto nae karudi anakuvua shati, viatu suruwali anakupigia story kuondoa uchovu.. unaandaliwa chakula upendacho then unaogaaa unamkuta kitandani na kakanga kepesiii.. .. unaanzia wapi kuwa ku cheat mzee.. π π π π mtoto mwenye mnono kishenziπππ uliinjoi sana hiyo pisi, yaani automatic unakuta una hamu tu ya kurudi home coz mrembo hana gubu lazima wana wakusahau kwa kijiwe. Sijui kwa nini mahusiano matamu kama hayo huwa hayadumu
πππ kwa mwendo huo huwezi kufikiria kucheat unakuta siku za weekend mtoto anakufanyia massage ukimaliza kula msosi mtamu unamla na mpishi mwenyeweπ π banaa shetani ana nongwaa sana . yani unafanya harakari unawaza home tu.. ile umemaliza shwaa home.. unakuta mtoto nae karudi anakuvua shati, viatu suruwali anakupigia story kuondoa uchovu.. unaandaliwa chakula upendacho then unaogaaa unamkuta kitandani na kakanga kepesiii.. .. unaanzia wapi kuwa ku cheat mzee.. π π π π mtoto mwenye mnono kishenzi
Unakuta pisi kama hii ndo inakufanyia hizo mambo ππ π banaa shetani ana nongwaa sana . yani unafanya harakari unawaza home tu.. ile umemaliza shwaa home.. unakuta mtoto nae karudi anakuvua shati, viatu suruwali anakupigia story kuondoa uchovu.. unaandaliwa chakula upendacho then unaogaaa unamkuta kitandani na kakanga kepesiii.. .. unaanzia wapi kuwa ku cheat mzee.. π π π π mtoto mwenye mnono kishenzi
Utajirudi tu!!π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nikisemwa nasusa π€£π€£
Mabosss ladies ni wale nilikua nawaibia notes mchana. Mi mpaka niache kuvaa sleepers kwenye meetings ndo ntaanza kuchukuliwa serious!πππOh Lady boss umetingwa na kazi za klayanti.
ππ huu unakaribia muda wa Jua kali, nitaianza wkend.
I'm a Puritan! A hardcore Medieval Puritan.......πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
You've made my day with that flawless explanation of our political ideologyπππ....buuuuut, I wanted to know yours!
Jana na leoo.
Huyo aliyekuanzishia Uzi naomba apewe joining instruction ya kile chuo kule marekani chhenye jina gumu.Jana na leoo.
Nambieee mzee wa hall 5.
Kuna mpyaa ganii???
Uzi gani tenaaa?? Mbna sielewiiii jomoneee.Huyo aliyekuanzishia Uzi naomba apewe joining instruction ya kile chuo kule marekani chhenye jina gumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko liver, final ya fa, semi final ya Europa, na naongoz league kwa point 5.
[emoji117]Kuna muda unapigiwa counter attack, mpaka unatamani kuingia kwenye tv ukakabe[emoji23][emoji23]
A bit of a fanatic then...?πΆI'm a Puritan! A hardcore Medieval Puritan.......ππ
ππ ni hakuna kulala mpaka mambo ya klayanti yatimie.
Lady boss usiye na makuu π had kwa meeting unaenda na slipa!!Mabosss ladies ni wale nilikua nawaibia notes mchana. Mi mpaka niache kuvaa sleepers kwenye meetings ndo ntaanza kuchukuliwa serious!πππ
Enjoy mwaya, ngoja mi nijiibie kausingizi kidogo kabla βklayanti hajaniteka tena!π΅π΅
π€£ boss hanuniwi lakini kuna muda unatakiwa umchemshe kidogoUtajirudi tu!!π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Usinikumbushe ambavyo tuliwahi kususiana for 2 weeks.π«£π«£π
Aliyesema boss hanuniwi apigwe mawe!!
ππππ mbona na simu tatu mkuuNimwambie Lenie hako ni ka aifon ngapi ππ
Hiyo track namba 2!! Eti umejuaje kama sio umbea πππ Alooo
Kishindo cha wakoma π₯π₯
Safiii
Aisee