Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
😂😂😂 ukiwaenzi nakufikiriaNauliza haujatuma Sasa🤔🤔, au unataka niwaenzi manabii na mitume wa zamani. Walitembea kutoka misri Hadi Israeli😂😂
😂😂😂 ukiwaenzi nakufikiriaNauliza haujatuma Sasa🤔🤔, au unataka niwaenzi manabii na mitume wa zamani. Walitembea kutoka misri Hadi Israeli😂😂
Ww nicheke ty
Mzee ushaanza safari?Ww nicheke ty
Si useme tu umeshatumia asilimia 75 za bando lakonapita pita tu mkuu jf leo imepoa😂 hakuna hot topics😂
hatukasiriki bali tuna mashaka 😂Unaona Sasa🤔🤔, Afu nikianzisha Uzi wa kumsifia Lovelovie. Wewe na Poor Brain mnakasirika😂😂
Ukinikalia kooni naharibu kazi mapema asubuhi 😂😂😄😄
Ntakusimamia kooni mpaka ufanye ili tu uachane na mimi. 🤣🤣
She no longer give a hell about me😐🤨😑kijana huyo mtunzeer yale yote uliyofundishwa unyagonii mpeee umnyooshe hata nje asiangalie tenaa mdogo wangu 😅😅
Mashaka yapi🙄🙄hatukasiriki bali tuna mashaka 😂
hebu badilisha mada kila saa mapenzi 😂Mashaka yapi🙄🙄
Kimekubali... Au ukute mambo ya kuchomeka vibaya Cable 😊😊😊😊!Zima kishikwambi, alafu chomeka charger yake
Basi kitakuwa imekufa port ya simu, Hebu jaribu chaji nyingine. Ikigoma. nenda kwa fundi Ni 5000 au kajichekeshe elfu 3😂😂Mie nilikua mizungukoni ni Kwamba Wametumia chaja ya simu yangu kuchajia kishwambi kuja kuweka chaja yake imegoma kupeleka hata hio chaja ya simu pia ilikua haipeleki!!
Halafu bado unaniita chizi🙄🙄😂😂Kimekubali... Au ukute mambo ya kuchomeka vibaya Cable 😊😊😊😊!
Kweli Ushamba mzigo😁😁
Mimi niko poa jana thijakuona hapa kabisaUdugu kithembe niaje 🤣
fanya namnaaa unilipe sasaaa shangazi yanguu mzuriio weyeeee hakuna mfaaano yani 😊😊😊Kimekubali... Au ukute mambo ya kuchomeka vibaya Cable 😊😊😊😊!
Kweli Ushamba mzigo😁😁