Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Inaeza haribu kile kidude ambapo unachomekea chaja. Ila test USB nyingine kwanzaWajuvi hivi kishwambi ukichajia chaja ya simu ya kawaida kinaharibika???
Madogo wamechajia chaja ya kimeo changu asee Saivi nikichajia chaja yake haipeleki wala kuonesha kama inaingiza chaji...nikifanyeje?? National Anthem Intelligent businessman na wengine!