National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
yakooo hayaa shangazii mzurii ๐ ๐ ๐ ๐ ...Leo Tangu asubuhi mnatukomeshajeee Humu na ma dedikesioooo...๐๐๐!!
yakooo hayaa shangazii mzurii ๐ ๐ ๐ ๐ ...Leo Tangu asubuhi mnatukomeshajeee Humu na ma dedikesioooo...๐๐๐!!
My darling Lovelovie this is for yah๐๐ค
mnataka leo mkalale hotelin gani tulipie wana selfi hapa mkale bataaa ๐ ๐My darling Lovelovie this is for yah๐๐ค
Yaani mfano home kwa mother na mzee, wait ni mieleka daily. Mother anapenda Mpali, huba, yalaiti na dogo kitimtimNice mimi naangalia for entertainment tu , nifurahi nafsi yangu iridhike ...
nikija kuzisaka ni mwendo wa compact daily ๐๐ .
Not my type aiseeHollywood mna mashauziii akii๐ค๐ค, fast furious, John wick, mission impossible, creed, expendable, avatar mpaka zinakeraaa kila siku๐๐๐
No sex for now bro, I respect her๐๐ค๐ค. Sitaki mchezea for real๐ค๐ค Loveloviemnataka leo mkalale hotelin gani tulipie wana selfi hapa mkale bataaa ๐ ๐
kwani mkilala lazima ku sex ๐ซฃ๐ซฃ๐ซฃNo sex for now bro, I respect her๐๐ค๐ค. Sitaki mchezea for real๐ค๐ค@lovelovie
Madea unaijuaa??, Ni commedy, drama ya kufa mtu๐๐Not my type aisee
John Wick hiyo naona imetrend sana .
natakiwa ni watch movie tamu ,
nikiangalia nasema awwwh .
Guess she don't wanna talk with me for now๐๐๐คจ๐ข, though bshe said yessKhakhakhaaaa.... yani za kutafsirii wengine uongo
How's she doing????
Mpali ni nzuri lakini kila siku visa wanawake wale .Yaani mfano home kwa mother na mzee, wait ni mieleka daily. Mother anapenda Mpali, huba, yalaiti na dogo kitimtim
Ohhh that cool, ki holiday flani hivi๐ค๐kwani mkilala lazima ku sex ๐ซฃ๐ซฃ๐ซฃ
Kaangalie madea utacheka Sana๐Mpali ni nzuri lakini kila siku visa wanawake wale .
nimesoma sehemu watamdhulumu shamba lile , kuna mkewe atapanga njama .
Mie wazungu wameniharibu sana kichwa ..
Uwe unaangalia hata Comedy central unapanua mapafu
Kama hivi yaani ๐๐Ohhh that cool, ki holiday flani hivi๐ค๐
Naijua eehMadea unaijuaa??, Ni commedy, drama ya kufa mtu๐๐
Hiyo Cha mtoto, Kuna ile kakabidhiwa mtoto amlee Baada ya kutoka jelaa๐๐, au ile ya sherehe ya Halloween๐๐Naijua eeh
kuna moja nimeona inaitwa Madea's Witness protection aisee ni nzuri sana ..
Tyler perry ni nouma
Hakiingizi charge tena ? au madogo wameharibu hiyo chargerWajuvi hivi kishwambi ukichajia chaja ya simu ya kawaida kinaharibika???
Madogo wamechajia chaja ya kimeo changu asee Saivi nikichajia chaja yake haipeleki wala kuonesha kama inaingiza chaji...nikifanyeje?? National Anthem Intelligent businessman na wengine!