Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Hizo Ni fupi mpendwaaise napenda movie fupi kitu iishe hapo hapo .
mambo ya kusubiri hadi season 2 itoke sitaki .
team Hollywood mie ,
Hizo Ni fupi mpendwaaise napenda movie fupi kitu iishe hapo hapo .
mambo ya kusubiri hadi season 2 itoke sitaki .
team Hollywood mie ,
ni genre ipiHizo Ni fupi mpendwa
Hollywood mna mashauziii akii🤔🤔, fast furious, John wick, mission impossible, creed, expendable, avatar mpaka zinakeraaa kila siku😂😂😂aise napenda movie fupi kitu iishe hapo hapo .
mambo ya kusubiri hadi season 2 itoke sitaki .
team Hollywood mie ,
😁😁😁😊!Niache kuangalia mapishi food network niaangalie wakorea na ma visu yao 😂😂😂 .
Nilijua tu, na hapo ndo nyumbani kwake😍😍ni genre ipi
si unajua wadada sie tunapenda , comedy , drama , romantic , sci-fi na thriller kidogo
ngoja nisome synopsis yake kwanza if its boring , hell no .
Mie Telenovelas tuuuuHufatilii tu, Kuna mizigo ya kwendaaa💪
Kaangalie ile channel sijui ya t... Wametafasiri kiswahili😂😂😁😁😁😊!
Kwakweli mavisu hata mi hapana Mie napenda Telenovelas .... hapo naeza unguza mboga mbona!!😁
Tamthilia kama zote😁😁😁😊!
Kwakweli mavisu hata mi hapana Mie napenda Telenovelas .... hapo naeza unguza mboga mbona!!😁
Mi sometimes napendaga discovery family, Kuna vipindi ambavyo Kama kijana vinatufaa Sana.yeah sahihi
napenda sana reality tv
huwa nashinda huko TLC kuangalia 90 day fiancee, Cake boss , All winner cake .
Mambo Tv hiyoKaangalie ile channel sijui ya t... Wametafasiri kiswahili😂😂
Mie napenda za kizungu zilizotafsiriwa hapana.... za ung'eng'ee ndio mwakeeeKaangalie ile channel sijui ya t... Wametafasiri kiswahili😂😂
Sasa hivi Nina series Kama zote kwenye PC, + magame loh ukiamka Ni game tu😂😂 kelphin anaelewa addiction ya master league😂😂Hio 108 wanawekaga hadi muvii za katunii 🙌
Leo Tangu asubuhi mnatukomeshajeee Humu na ma dedikesioooo...😊😊😁!!
Siku izi siwapendi hai watafasiri, mtu anakunywa maji. Ye anasema Jamaa kakasirika😂😂😂😂Mie napenda za kizungu zilizotafsiriwa hapana.... za ung'eng'ee ndio mwakeee
"Yu no woram sein😁!"
Nice mimi naangalia for entertainment tu , nifurahi nafsi yangu iridhike ...Mi sometimes napendaga discovery family, Kuna vipindi ambavyo Kama kijana vinatufaa Sana.
👉Idea za biashara
👉 Engineering
👉War😂😂