Selfika na JF: Snap it. Show it

Marshaaalaaah....




Sent using Jamii Forums mobile app
 
🎡🎡Bora ungekuwa mkanda wa DVD
Nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii
Yani ukaniviringisha
Nimeamini mpenz kunanamna
Yameungana na nyama
Hisia zanipeleka siwezi
Kumbumbuku zagandamana
Najifosi nisikate tamaa ya kupenda
Japo inaniuma kinachomiuma muda muda
Nilopoteza wee habari huna
Yaka yakanizidi nilipozama gwii gwiiπŸ’”
Limenyauka warid kwankumwagiwa asidi

Jamani mapenz yanauma ah 🎡🎡
@Antoniia mje mlie hapa πŸ˜‚πŸ˜‚nyimboyenu hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
One time Nakuja na kiporo changu cha wali ndondoo hapoooπŸ˜‹!!
 
Mahaba mtreketrezeeeeeeee[emoji4][emoji4].....

Wee Aaliyyah Hebu nitafutieni namie nipate wa kumuimbiaa udugu akee Fanya makekeee kwanii[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani huna? Hata wa kuchoraaa?? Poleeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…