Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,339
- 2,608
nachungulia mara chache kama hivi naibuka kwenye majambo yanayonihusuWeee Kigi hebu karibu sana Selfika kwanzaaaa!! lol kumbe unachunguliaga huku[emoji4][emoji4][emoji4][emoji28]!!
. Usijareee kabesaaa invoo inakujaaa sasaheveeee[emoji14]!
Ahaa kumbe!! Basi karibia sanaaa chimboni selfika !!nachungulia mara chache kama hivi naibuka kwenye majambo yanayonihusu
[emoji23][emoji23]ngoja niupitie kwanza uzi nijue formation..., Si unajua ndo nimetoka kwenye uzi wa wachawi wa kwamsisi nisije nikapost vampire hapaMkuu Kigi Makasi njoo uubless huu uzi kwanzaa!!
😀😀😀Nina kiherehere tu 😂Sasa unasukaa ya nn aunt akati unavaa hijab??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza wakati G ananifatilia nilikua naona km anataka kunitia shombo. Niliona hatuwezaniii
Ni mkaka m1 mpolee, mkimyaa, mtaratibuu, kifupi ni introvert, bhana bhanaaa
Siku ya kwanza kumpaa, hadi nikawa najiuliza ndo yeye huyu au nimechanganyaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
G ameniwezaaa
Mambo mrembo Aaliyyah!?[emoji3][emoji3][emoji3]Nina kiherehere tu [emoji23]
Unasemaaa????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza wakati G ananifatilia nilikua naona km anataka kunitia shombo. Niliona hatuwezaniii
Ni mkaka m1 mpolee, mkimyaa, mtaratibuu, kifupi ni introvert, bhana bhanaaa
Siku ya kwanza kumpaa, hadi nikawa najiuliza ndo yeye huyu au nimechanganyaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
G ameniwezaaa
Mzee wa Tunduma. Na south niajeKama hana Cheti
Bhas kuna jambo
Linatokea muda si mrefu
Visit vifupi havija Anza Leo South Africa ishakuwa Kama sehem ya utamaduni wao. Si unakumbuka hata Ile movie ya sarafina??Lakini serikali ya SA nayo iwe na ufikirio kwa visketi vile ni ngumu kwa kidume rijali kuishia kula kwa macho lazima utataka kuona kama yaliyomo yamo
Limbwarta gani umempa bwnaa shemeji hapinduiJomoneeee nipooo dear vipi wee??
Niligombana na G Mda, ndo nimetoka kuongea nae sasa hivi kaniomba msamaha na kunibembelezaa, nlitamani asikate cm aendelee kunibembelezaa [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha hiyo fresh2 maana hapa dunian cha peke yako ni kabuli2
Ni sahihi kabisa nakumbuka mwanawane, mi vinanipagawisha kinyamaVisit vifupi havija Anza Leo South Africa ishakuwa Kama sehem ya utamaduni wao. Si unakumbuka hata Ile movie ya sarafina??
Sent using Jamii Forums mobile app