Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,979
Pole sana😉nazima moto UE inakaribia 😂
Pole sana😉nazima moto UE inakaribia 😂
Wee story muhimu 🤣🤣Ila ndio ajue lazima unipe ile story![emoji28]
🤣 hako hapana.iPhone 6🤣
Tutauliwa na muhusika mkuu 🤣Ila ndio ajue lazima unipe ile story![emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena njiwa pori
Upoje🤣Mkuu subiri kwanza.
Mkono wa kulia na kushoto hailingani unene. Ndio mambo ya kunyanyua vyuma??
Au ni pose la pic?
Ahahah mtoto haan adabu kabisa et kisa anakaa arusha wakat uko arusha wezie tunatinga kwenda kula bata na kurudi🤣🤣🤣 mwambie hivi
Aifon mtaji
Anytime unaiweka sokoni unadowngrade, unapata mawasiliano + pesa
Kwakweli mimi aje tu aniue hata saivi ila Jack Palladino lazima story aipateTutauliwa na muhusika mkuu 🤣
Wee story muhimu [emoji1787][emoji1787]
Ulikuja ukala bata wapi na wapi?Ahahah mtoto haan adabu kabisa et kisa anakaa arusha wakat uko arusha wezie tunatinga kwenda kula bata na kurudi
Upoje[emoji1787]
Ww nani kakuambia natumia iphon 6 wakat natupia picha hapa ya simu yangu ulikuwa wapi?iPhone 6🤣
Tutauliwa na muhusika mkuu [emoji1787]
hiyo picha ya simu yako ulipoga na simu gan?Ww nani kakuambia natumia iphon 6 wakat natupia picha hapa ya simu yangu ulikuwa wapi?
🤣🤣🤣 unataka Jack aniunderrate sioKwakweli mimi aje tu aniue hata saivi ila Jack Palladino lazima story aipate
Wewe arusha nishatinga sana rose golden hotel pale wananijua vyema moshi uko redston wananijua vyemaUlikuja ukala bata wapi na wapi?
Usikute ulikuja ukawa tu Mbauda huko na Tengeru 😂😂
Gym hiyo....nimenyanyua vyuma vina uzito usiolingana 😆 ***jokingMkuu subiri kwanza.
Mkono wa kulia na kushoto hailingani unene. Ndio mambo ya kunyanyua vyuma??
Au ni pose la pic?
Tecno yakohiyo picha ya simu yako ulipoga na simu gan?
Kuku sipendi
😂 siku ya msutoHawezi kujua![emoji4]