Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Kumbeeni njiwa yule 😂
🤣🤣🤣
Ndio nikashangaa, mbona kakuku kamenyauka
Kumbeeni njiwa yule 😂
Umepelekee na mshamba_hachekwi ale na yeye. Sio daily ale mihogoAh
ahahah sio kuku njiwa yule na jioni hii tena nimeenda kusalimia kwingine nikalishwa ugali njiwa mzee nitarudi kibonge ujue kitambi nakiona kileee
Anataka kunilaza njaa huyo
Namwambia anicall anakataa
Nanmm boda wangu hapatikani
Gily kaniambia dogo anahara😂 sitaki kula njiwa pori😂Umepelekee na mshamba_hachekwi ale na yeye. Sio daily ale mihogo
Kanichamba jana uyo mtoto et mimi nakaa bush nalinga mjini na iphone kumbe mshamba asiwe uyo mtotoUmepelekee na mshamba_hachekwi ale na yeye. Sio daily ale mihogo
Huyo shem wako msumbufuuMpigie chap shem wangu [mention]Lenie [/mention]
Mkuu subiri kwanza.View attachment 2640606
If you want to join then I be up in the gym, just working on my fitness...Ngoja niende nikapunguze kakitambi maana kanaanza kuja kuja
Hata hivyo guess how many times I quit 😄
#kufanya mazoezi kipaji
Huyo shem wako msumbufuu
Ila kwakua umetoa kauli, naanzaje kupinga mimi
njiwa sio poaMtamu sana af kabanikwa tu na chumvi
mshamba_hachekwi ni kiazi mmoja hiviKanichamba jana uyo mtoto et mimi nakaa bush nalinga mjini na iphone kumbe mshamba asiwe uyo mtoto
Mtamu mzee hawa wanataka kunionesha kuwa hawana shida na chakula mzee mda nakuoigia simu nimelishw njiwa na mtindi na soda juu nimekunywa bado wanasema muongezee soda mtoto wa dada huyu nikawaambia inatosha wazee kwa leo
🤣🤣🤣 mwambie hiviKanichamba jana uyo mtoto et mimi nakaa bush nalinga mjini na iphone kumbe mshamba asiwe uyo mtoto
Heee mtoto wa dada utahara jamaniMtamu mzee hawa wanataka kunionesha kuwa hawana shida na chakula mzee mda nakuoigia simu nimelishw njiwa na mtindi na soda juu nimekunywa bado wanasema muongezee soda mtoto wa dada huyu nikawaambia inatosha wazee kwa leo
Mtamu mzee hawa wanataka kunionesha kuwa hawana shida na chakula mzee mda nakuoigia simu nimelishw njiwa na mtindi na soda juu nimekunywa bado wanasema muongezee soda mtoto wa dada huyu nikawaambia inatosha wazee kwa leo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tena njiwa poriKwahiyo kuku wameisha hadi unaanza kula njiwa kijana?
Acha kabisa et kisa nimefanan na mam yangu kijiji kizima kinanijua wanaambiza tu mtoto wa fulani wanaambiana sanHeee mtoto wa dada utahara jamani
Kuku sipendiKwahiyo kuku wameisha hadi unaanza kula njiwa kijana?
iPhone 6🤣🤣🤣🤣 mwambie hivi
Aifon mtaji
Anytime unaiweka sokoni unadowngrade, unapata mawasiliano + pesa