Aisee hongereni yenu ππWatu wa Jf wote tuna magari, mjitahidi we na Depal mnunue jamani muondokane na kero za boda boda na bajaji
[πMe navyojifanyaga nunda sasa π€£π€£
Aki nianze kupractice kipaji kipya cha kulia sasa
Raha sana aiseeePambana, hope mwezi June itakuwa imefika. Kutembea umekaa kuna raha yakeπ
Asante sanaππAisee hongereni yenu ππ
sie kutwa kulalama hapa
nashukuru napokaaa usafiri husumbui kihivyo , labda siku umechoka na hujisikii kupanda daladala .
Alipigwa ban ya miezi miwili ila kaachiwa huru baada ya siku 2
We huoni maajabu hayo?
Wacha tu niwe chawa wake kuanzia leo
Full tanks mbona hata sio beiπ€£π€£
Ngoja tutunze aiseeAsante sanaππ
Nunueni tu magari aisee
Na service hapo hapo πππ
Sound system hapo hapo ππ
ππ inategemea unaenda wapiyeah ndo shida hapo aisee
Bajaji zinatusave ,mambo ya kutoa 20K hapana
Nyau we π€£π€£π€£Asante sanaππ
Nunueni tu magari aisee
Panda bajaji wewe, hutaki kiyoyozi cha bure πππ inategemea unaenda wapi
Kwani huko indrive za elf 5/7/8/9/10/15 hamna?
Tena 15 huku ni kama naenda mbali sana
Ni gharama huku inategemea na distance pia .ππ inategemea unaenda wapi
Kwani huko indrive za elf 5/7/8/9/10/15 hamna?
Tena 15 huku ni kama naenda mbali sana
Sijajua uduguHahaa unarudi lini kwani
Mzee wa soseji na fanta huko watakumaliza. ππ MwachiluwiUdugu Depal Lenie Mjep Jack Palladino Gily uku si kunikomoa hawa wajaomba zangu wananichukulia mimi mlafi ugali na njiwa
kuna bajaji wanakera aisee kasema mwisho Ubungo tukapanda , tukamwambia tunashuka njia panda ya Chuo .Panda bajaji wewe, hutaki kiyoyozi cha bure π