Selfika na JF: Snap it. Show it

Kiasi.. lift za hapa na pale.

Indrive ni kama uber. Huku unavyopick ride unachagua na aina ya gari( utaziona hapo zitakuja na bei zao.
Okay nimekupata aisee

mimi nikikodi huwa nachukuaga IST ,passo basi tu na siku hizi napenda bajaji since inapenya kwa foleni
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ngoja Depal aone hili jibu lako.
Mwambie aseme ukweli alikuwa wapi asisingizie banπŸƒπŸƒ
Alipigwa ban ya miezi miwili ila kaachiwa huru baada ya siku 2
We huoni maajabu hayo?

Wacha tu niwe chawa wake kuanzia leo
 
Reactions: 511
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ongea vizuri na watu wewe, hukuona Depal anasema jana alikuwa na kazi ya kulia na leo yuko free from banπŸ˜…. We kama uwezi kulia pole sana Lenie
Me navyojifanyaga nunda sasa 🀣🀣

Aki nianze kupractice kipaji kipya cha kulia sasa
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…