Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaa wewe jamaa una sifa ya kujizuia aisee mi ningekuwa naozea jela saivi. Maana sio kwa mitego ile
Wakati huo nilikuwa nina mwili mdogo dogo, kwahiyo madogo wakawa wanahisi kama wanaweza kunimudu vile kwahiyo ilifikia hatua wananiandikia na barua kwenye madaftari yao

Ukishindwa kujidhibiti, unaweza kuharibu kesho yako kwa utamu wa dakika chache πŸ˜…
 
Nyuma unakuwa free sana
unacheka huko nyuma and do all sort of crazy stuffs πŸ˜‚πŸ˜‚ .

mbele hapana aisee sipapendi kabisa .
sie wenye aibu ndo kabisa , iwe safari fupi labda .
πŸ˜‚πŸ˜‚ inategemea na gari
Vicruza vya ofisini sikaagi nyuma
Vx ukikaa nyuma kule utaumia kama dereva yuko rough safari ndefu.

Indrive sikai mbele hata kdg πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ inategemea na gari
Vicruza vya ofisini sikaagi nyuma
Vx ukikaa nyuma kule utaumia kama dereva yuko rough safari ndefu.

Indrive sikai mbele hata kdg πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
eeh una uzoefu na magari
Indrive magari yao yakoje kwani ??
si hizi za mjapani au ??
 
eeh una uzoefu na magari
Indrive magari yao yakoje kwani ??
si hizi za mjapani au ??
Kiasi.. lift za hapa na pale.

Indrive ni kama uber. Huku unavyopick ride unachagua na aina ya gari( utaziona hapo zitakuja na bei zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…