Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂 nyuma raha
Unaendelea na mishe zako.
Ila inategemea na dereva, kuna madereva utataka kukaa mbele.
Nyuma unakuwa free sana
unacheka huko nyuma and do all sort of crazy stuffs 😂😂 .

mbele hapana aisee sipapendi kabisa .
sie wenye aibu ndo kabisa , iwe safari fupi labda .
 

[emoji39][emoji39][emoji39] ninavyopenda udambwi dambwi sasa naja
 
Ila Vitoto vina mitego sana, wakati nimemaliza Form 6 nasubiri kwenda chuo nilikuwa napiga Tempo, yaani vitoto vilikuwa vinanipa majaribu sana.

Ukiwa na roho nyepesi, jela inakuhusu
Hahaa wewe jamaa una sifa ya kujidhibiti aisee mi ningekuwa naozea jela saivi. Maana sio kwa mitego ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…