Selfika na JF: Snap it. Show it

Waache dharau zao

Walikuwa wana kelele sana hawa Utopolo, Waarabu wamejua kuunyamazisha mji na zilizokuwa kelele za vyura wa jangwani
Sema mwaka huu walikutana na team rahisi (vibonde)
ndo maaana wakajidai hivyo .

Arrgggh ilikuwa kero kuna jirani mmoja mpangaji mwenzangu ana makelele huyo bora walivyofungwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sema mwaka huu walikutana na team rahisi (vibonde)
ndo maaana wakajidai hivyo .

Arrgggh ilikuwa kero kuna jirani mmoja mpangaji mwenzangu ana makelele huyo bora walivyofungwa πŸ˜‚πŸ˜‚
Walikutana na timu zimejichokea kama ile ya Malumo wamejishukia daraja huko kwao sasa kuna timu hapo

Sasa ndo zamu yako kumkera jifanye kama haujui kinachoendelea muulizie matokeo 🀣🀣
 
Walikutana na timu zimejichokea kama ile ya Malumo wamejishukia daraja huko kwao sasa kuna timu hapo

Sasa ndo zamu yako kumkera jifanye kama haujui kinachoendelea muulizie matokeo 🀣🀣
Yeah walikutana na slope aisee
Tp mazembe ishajichokea sasa
wasubiri mwakani .

hahaa sinaga hata muda wa kumuongelesha . ni kumpisha tu kwa njia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…