Okrap
JF-Expert Member
- Jul 13, 2022
- 1,112
- 2,316
Asante
Asante
😂😂😂 majungu hayoHongera sana
MTAACHANA TU
[emoji23][emoji23][emoji23] majungu hayo
Hahahaha wewe ukishabikia yanga utaopoa chombo kikali saaana. Mzee
Niamini....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaha kimbia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ahaha kimbia tu
we mpumbavu utakuja kufa😂
mimi mbona sikujui 😂Dar to mbeya mshamba_hachekwi nipokee mgeni wako leo
Shati la kisukumaDar to mbeya mshamba_hachekwi nipokee mgeni wako leo
Kwanini mwanangu 😂😂we mpumbavu utakuja kufa😂
saa 10 upo kitaa unakiwasha bado😂 unakaanga mainiKwanini mwanangu 😂😂
Acha waringe kwa wakatiHahahaha Simba pisi kali mpo sema kutesa Kwa zamu. SASA hivi ni zamu ya yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yolly ,Nakukimbilia ww mrembo mkali
Nikiamka nadetox 😏saa 10 upo kitaa unakiwasha bado😂 unakaanga maini
hii ndo ikojeNikiamka nadetox 😏
Leo unanikataaa sio poa 😂mimi mbona sikujui 😂
Ahahahahha acha ukorofi na kithembe chako ikoShati la kisukuma
Plenty of waterhii ndo ikoje
Mimi sina kithembe we kibogoyo 🤣Ahahahahha acha ukorofi na kithembe chako iko
NaaamAcha waringe kwa wakati
tukirudi on trend wanalo
[emoji23][emoji23][emoji23]