Selfika na JF: Snap it. Show it


[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimetafuta huu umbeya hapa JF sijaona
Nimependa wapwa walivyomkaanga kikatuni maana amezidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona saiv joti ka laminate tweets zao kabisa
Kila mtu yuko upande wa herode hadi huyo coco[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila nimefurahi sana wacha apikwe maana aliona yeye ni elon musk wa bongo shwaiiinnnn
 
Mke wa herodee ni kisuuu, afu km mnyarwandaa Fulani, mie kile kishepu na jichooo awww.
Herodee ana balaaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wapwa sio watu wazuri
Mbona walkua wanamsifia frenchfries na komwe lake[emoji38]

We dont want peace[emoji23][emoji23][emoji23]
Vayolens activated
 
Yaan huko twitter ni balaaaa, yule mbwaa aliwahi kuninyaliiii, mbna leoo niko winjaaa winjaa kusagiaa kunguniii.

Linadharau watu kumbe hata vyeti vya fomu foo alifojii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kisa ana followers 1mil bas anajiona twitter ndo yakeee, harudii tenaaa mbwaa yuleee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha wamkaange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amezidiiiiiiii
Wanaona wao ndo wapendanao bongo nzima
Jamaniiii dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] twitter itulie sasa, khaaaaah
Mfalme herodee alimuadhibu Yesu, ashindwe kumuadhibuu Dengee wee ulisikiaaa wapiiii???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wapwa sio watu wazuri
Mbona walkua wanamsifia frenchfries na komwe lake[emoji38]

We dont want peace[emoji23][emoji23][emoji23]
Vayolens activated
Vawulenceeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekimbiaa twitter kuna majamaa yamenijia DM yanasema mie ni cocastic wa JF, sasa kuepuka uchoreshooo nimelog out.

Tatizo writing zangu sijui kuziweka tofautii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vyetu vya form four mmpata wapi jamanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watu wanakaangwa ila huyu mmemchemsha wallahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu bado anajimwambafy eti yuko kwnge advertisement ya sijui nape nauye
Ila watu hawaelewi wanaruka nae mpaka alete balance yake ya bank

AkomeeπŸ˜’πŸ˜’
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wapwa sio watu wazuri
Mbona walkua wanamsifia frenchfries na komwe lake[emoji38]

We dont want peace[emoji23][emoji23][emoji23]
Vayolens activated
Friday is for vayolenceeeeee.

Na Yule jamaaa mwenye pua wamemkaaanga pia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…