MoshiWapi hapa
Ankol National Anthem una nini lakini asubuhi asubuhi hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha uchokozi tuiombee Yanga, home tushinde nyingi tumalize kazi. Tukienda away tupark bus.Sio kwa shangazi wanguuu kipenzi Antonnia na aunty Bantu Lady .. wengine ni dugu moja na kanjibai ( Limited edition )🤣🤣
Wale tunapiga nje ndanii shangazi mzuri.. Yanga tukiwa nje tunatishaaa hatari kama nyukilia... 😅😅 wasio na nyashi big big wote motoniAnkol National Anthem una nini lakini asubuhi asubuhi hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha uchokozi tuiombee Yanga, home tushinde nyingi tumalize kazi. Tukienda away tupark bus.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mbna unanichomaa hivi??Wee captain Mbona watu wapo vizuree humuu nawee mfano cocastic pale utaomba poo mwenyewe mtoto kaenda unyagooo kafundwa akafundikaaa weee nawengine Wengi tyuuu wapo vyediiii!
Sema akina mie hapa Hujakosea kabisa [emoji106]!
Mkono wa nani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni ndugu mtazamaji![emoji854]View attachment 2636204
Hii baridi haiachi mtu salama😂
Ni mitori kwa kwenda mbele 😂Hii baridi haiachi mtu salama😂
Wakisha shiba mtori sasa😂Ni mitori kwa kwenda mbele 😂
Ni ma hickey tu 🤭Wakisha shiba mtori sasa😂
ona sasa.... mi nilitaka niseme wanalala😂Ni ma hickey tu 🤭
Wakimaliza wanaanza sumbua watu namna ya kufedisha😏
Hebu muwashe data kidogo Coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani amenisahauuu?? Ananijua vizurii mnooo.
Anajizimaa data tyuuh.
Kisa nini 🤣
Wangu....Mkono wa nani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]