"Kasura ka kitoto kumbe shangazi... Ussshuuuunguuuuuu🤣🤣🤣 🤠🤠🤠🤠😌!Huo mzigo ni wa hatari na huo upajaaa ... hapo zile mbinu zote za mzizikavu nazitendea kaziii.. kuna watu waliumbwaaa aisee.. hapo plus ka face kake kakitotoo kumbe shangazi 😅😅😅.. hapo na ujuha wako lazima ukakitupa chooni kimoko ndio urudi church
Inabidi na Tinsley umpatie nae 😅😅Hakika Nashukuru kunifumbua macho, I'm addicted already
Nitajie nicompare beiKaribu bei maelewano
A town ndio kuko hivi leo?
Acha tu.A town ndio kuko hivi leo?
Pole sana, naogopa baridi sanaAcha tu.
Kinapuliza balaa
😅😅😅 nakuja sasa hivii kuutoa huo ushunguuu, mahala popote ulipo jifichaaa.."Kasura ka kitoto kumbe shangazi... Ussshuuuunguuuuuu🤣🤣🤣 🤠🤠🤠🤠😌!
haiwezekani upateee ushunguuu na mieee solution nipooo 😅😅😅😅..."Kasura ka kitoto kumbe shangazi... Ussshuuuunguuuuuu🤣🤣🤣 🤠🤠🤠🤠😌!
Hao wa elf 2 ni fake, sio ndugu zangu. Njoo upate high quality.Nitajie nicompare bei
jamaa anyeuzaaaaa sungura ni rafiki yangu naweza bargain naye hadi elfu mbili 😂😂😂
Mleta nicheze nae basivizuri sana aisee
nimemuonyesha toto kavipenda anaviita nyau tu muda wote
Hao ni bei basiHao wa elf 2 ni fake, sio ndugu zangu. Njoo upate high quality.
Baridi iliyozidi haijawahi kupendeza.Pole sana, naogopa baridi sana
Halafu mbona yule best yako alinizingua?Hao ni bei basi
nitawaweza wapi
nikienda kucheza nao nitakupigia picha uwaone .
Karibu sanaMleta nicheze nae basi
Piga mtori mwingi sana,Baridi iliyozidi haijawahi kupendeza.
Dakika 2 mbali niko hapo getini, funguaKaribu sana
uje kucheza nae
best yupi huyoHalafu mbona yule best yako alinizingua?