Kumbe na wewe ni kama yeye tu, mwambie sio poa ni akili za usiku tu, asi panicbest yupi huyo
maana sijui kama ninaye 😂😂😂
Kumbe na wewe ni kama yeye tu, mwambie sio poa ni akili za usiku tu, asi panicbest yupi huyo
maana sijui kama ninaye 😂😂😂
Uswahilini huku geti litoke wapiDakika 2 mbali niko hapo getini, fungua
Nipoo nyumaaa yakooo 😍😍😍 ukilala nakaa ubavuneee ,See you when you see me 🚶🏻♀️✌️✌️✌️!
Kwa hiyo nikifika tu nizameUswahilini huku geti litoke wapi
😂😂😂Kumbe na wewe ni kama yeye tu, mwambie sio poa ni akili za usiku tu, asi panic
Zama tu hadi ndaniKwa hiyo nikifika tu nizame
Nakuja na hao wodogo zangu wawili, andaa karotiZama tu hadi ndani
Usije bila zawadi
😂😂😂
mnanichekesha jamani , nitamwambia ..
na cabbage piaNakuja na hao wodogo zangu wawili, andaa karoti
na cabbage pia
na matembele pia yapo
, ni wao tu kujisevia .
Tuanze kwanza kwenye zawadi niipate kwanza 😂😂 .Mpange maana sikumwelewa siku ile, ukifanikisha zawadi yako ipo.
Tuanze kwanza kwenye zawadi niipate kwanza 😂😂 .
haya sasa .....Nikikupa zawadi unaweza usimlete😅, niletee kwanza nimemmis sana. Zawadi yako ipo uzuri unanijua mbona siku ile nilikupa.
haya sasa .....
Consider it done eehFanya hivyo, mwambie asiwe na moyo wa barafu. Mimi ni mtu mwema sana
Poa. Ngoja nitoke kidogo, baadaeConsider it done eeh
Wapi hapa[emoji288]View attachment 2636306