Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
Wqna kitimoto safi balaaumeenda kwa ajili ya nyama au kujilipua 😂
Wqna kitimoto safi balaaumeenda kwa ajili ya nyama au kujilipua 😂
hehee 😂😂😂Nibali na nini? Labda useme figo
afu unajua huu ujana usiposhiriki hizi mambo za nightlife unaonekana mshamba.... naogopa kupoteza marafiki😢Wakaushie tu
kuwa kauzu tu hapo .
uendage andrews kuna nyama choma hatari😂Wqna kitimoto safi balaa
Hao sio marafiki wa kweli basi .afu unajua huu ujana usiposhiriki hizi mambo za nightlife unaonekana mshamba.... naogopa kupoteza marafiki😢
whats your favouriteUnauliza swali ama jibu? 🍺🍷☕ Zote ni drink
Napajua vizuri kabisa. Fav chimbo,. Ukiondoa nyama choma wana wali wao flani na rojo safiii. Makange pia amazinguendage andrews kuna nyama choma hatari😂
ngoja tumjue mshamba.... George's tavern umeenda?? 😂Napajua vizuri kabisa. Fav chimbo,. Ukiondoa nyama choma wana wali wao flani na rojo safiii. Makange pia amazing
Na kile kigiza cha kule zinapokaa kapoz ni fire, sema baridiii pale. Ila uzuri ukizidiwa unapewa blanket.
Dogo hapo mjini me nimepamaliza 😂😂😂😂😂
inaharibu maisha yangu serious😂Misemo tu hiyo😂 ponda mali mwanangu
Ndiyo mdada ndio maana sikubishana, nikampa hiyo 7 yake anayotaka.Lakini si mdada mwenzako, labda hakuwa na ya mafuta. 😅
Hao dawa unashika kabisa mkononi kama hataki unamruhusu. Wanaangalia mwonekano wako na mahali ulipo.
Vitu napendaga 😋😋😋Lenie 😂😂 nitakukumbusha uichome nile kwa macho mieeView attachment 2635896
najitahidi sana.... ila kuna hizi withdrawal symptoms😂Hao sio marafiki wa kweli basi .
true friends should support each other no matter what .
mie kauzu sana kwanza hata marafiki wa kike sina 😂😂
i dont mind loosing friends maaana mimi ndo best friend mwenyewe wa maisha yangu .
i cheer myself , encourage myself and so many more . what im saying hapa ni self love . jipende mwenyewe zaidi .
😂😂😂Misemo tu hiyo😂 ponda mali mwanangu
Haukua kawaida, au nipost picha hapa?Ndiyo mdada ndio maana sikubishana, nikampa hiyo 7 yake anayotaka.
Pale ni mgahawa tu wa kawaida, na mm mwenyewe nilikuwa kawaida 🤪
Try harder , ukizidiwa muombe roho mtakatifu akusaidie na kukupa nguvunajitahidi sana.... ila kuna hizi withdrawal symptoms😂
heehee unanishushua leo duhAmfate kwani unataka afe?? 😅 Maana huwezi fika kwake bila kufa.
Umekataa kutoa ushaur kule mpaka uzi umefutwa 😂😂Haukua kawaida, au nipost picha hapa?
Ulitokelezea sana, ndio maana akaashum we wa ushuani
wakishua 😂Grey Goose Vodka
anazingua anawekaje picha ya dyudyu lake jukwaani😂L
Umekataa kutoa ushaur kule mpaka uzi umefutwa 😂😂