Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
😂😂😂 post!! Nyau weHaukua kawaida, au nipost picha hapa?
Ulitokelezea sana, ndio maana akaashum we wa ushuani
😂😂😂 post!! Nyau weHaukua kawaida, au nipost picha hapa?
Ulitokelezea sana, ndio maana akaashum we wa ushuani
Picha ilinipiga upofu wa ghafla🤣🤣L
Umekataa kutoa ushaur kule mpaka uzi umefutwa 😂😂
haha wamefuta ule uzi dahanazingua anawekaje picha ya dyudyu lake jukwaani😂
sijawahi isikiaGrey Goose Vodka
nimejifunza mambo ya gizani sio mazuri kabisa😀Picha ilinipiga upofu wa ghafla🤣🤣
Ila hiyo kawaida unaiona wewe, huenda yeye kakuona kama boss flan.
itabidi nitafute mchumba temporary awe ananituliza mizuka 😂Try harder , ukizidiwa muombe roho mtakatifu akusaidie na kukupa nguvu
mtani sijawah kukuona ukipost nitag😂😂😂 post!! Nyau we
🤣🤣🤣🤣🤣 Kanjibai😂😂😂😂😂 nacheka sanaaaa mwanangu
hiyo ukiinusa tu unapagawasijawahi isikia
hiyo
Na alivyokua ananukia sasaKumbe alikosea mwenyewe😂 mdada akaona huyu ni boss lady kabisa
nlikua nakunywa maji nikapaliwa afu Gily unapenda sana hizo mambo ukanitag 😂Picha ilinipiga upofu wa ghafla🤣🤣
Tunapaita kwa Jo Tee 😂😂 weee dogo weengoja tumjue mshamba.... George's tavern umeenda?? 😂
Bora kama huo izi umefutwa daahnimejifunza mambo ya gizani sio mazuri kabisa😀
hehee basi afate alivyotuagizaHapana, nimeshtuka kuona unamtaka amfate Mungu.
😂😂😂😂 af kama kambale mtotoanazingua anawekaje picha ya dyudyu lake jukwaani😂
Onja basi kdgmtani sijawah kukuona ukipost nitag
ah, we wakishua aisee nlikua nakupima😂 ethiopian restaurant pakingese nlikula dish la ki-vegeterianTunapaita kwa Jo Tee 😂😂 weee dogo wee
Nakusubiri twende Ethiopian restaurant. Najua unapitaga tu kwa nje
hiyo ukiinusa tu unapagawa