Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
ooh vyemasafi tu tunaenda kibishibishi
ooh vyemasafi tu tunaenda kibishibishi
muone nini tena....😂
Pole sana Kiongozisafi tu tunaenda kibishibishi
Nipo nalewa shem darling...
Cha🍻Nipo nalewa shem darling...
😂😂😂 kitambi kwani kinawasha? Kwanini ukiogopeWe hunitakii mema wewe! Ujue nimeacha mazoezi kakitambi kananing'inia ning'inia hapa ...sasa nikiongeza portion sinitahitaji katoroli kakubebea??😳😳😳
karibu na nane nane njiro sijakaa sana ujue 😂
nimeona tu headlines sijafuatilia.... kuna watu walifariki??Pole sana Kiongozi
umesikia lifti ya leo iliyoanguka nilivyoona habari nikakumbuka .
so sad
Injuries tu , Mungu ni mwemanimeona tu headlines sijafuatilia.... kuna watu walifariki??
✅😂😂karibu na nane nane njiro sijakaa sana ujue 😂
kuna jamaa nimeskia amejirusha akiwa juu ya jengo ndo amenishangaza zaidiInjuries tu , Mungu ni mwema
hiyo lifti nilipanda last month , kuna floor nyingi inapanda hadi juu . na ilikuwa inachelewa
Hiyo ni jana hapo hapo Makumbusho sema ni derm plaza .kuna jamaa nimeskia amejirusha akiwa juu ya jengo ndo amenishangaza zaidi
mental health is real.....Hiyo ni jana hapo hapo Makumbusho sema ni derm plaza .
so true dahmental health is real.....
Tumetekwa ase
kweli umepita mapito..... how did you bounce back??so true dah
serikali ianagalie juu ya hili
nishawahi kutamani kufanya suicide aisee its really bad .
wamefeli nilikua sijamalizia aisee[mention]Peterrabbit [/mention] uzi wameufuta dahh[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]