Hizi habari mbona me sina😂Iko poa sana ila Depal kaachwa mshamba_hachekwi anataka
Mashangazi amalizie boom uko Lenie anamtaka Grahams babu wa singida na huy Jack Palladino nae kaachwa kakimbia kabis
Ahahaha mimi ni mfadhiri wa moyo wako ndio maanaAcha kuusemea moyo wangu
Sawa mkuu asante sana kwa taarifa hii, hakika una upendo wa agape.10000 kila mwezi
Sawa mkuu asante sana. Ngoja kesho nikaombeLeta barua ya utambulisho toka kwa m/kiti.
Ulitakiwa uwe nazo mapema sanaHizi habari mbona me sina😂
Kumbe mkuu Mwachiluwi umenidanganya na hapa?Hizi habari mbona me sina😂
Watu wenyew tupo 2578 unakuta mm wa elf 2 nisipoomba wenzangu wataomba 🤣🤣🤣🤣Mi Hadi Aitime naomba bana wee nahela zako utajua mwenyewee!! 😂😂😁😁🤠!
Nakutania mkuu.Sawa mkuu asante sana kwa taarifa hii, hakika una upendo wa agape.
Naituma wapi hii, pia naruhusiwa kuchat kwa kipindi gani kabla sijafungiwa mpaka nilipe?
Ni habari za uongoKumbe mkuu Mwachiluwi umenidanganya na hapa?
Kumbe ni utani mkuu, afadhali maana nilihisi hapa selfika ni mpaka malipo.Nakutania mkuu.
Nisikilize mimi haya ukipotea usije sema sikukwambiaKumbe mkuu Mwachiluwi umenidanganya na hapa?
Asante sana mkuu, habari yakoNi habari za uongo
Unakataaa kabisa 😂😂Ni habari za uongo
Ok,Kambale sijala muda mrefu sana maana sikutani nao sokoni. Unataka kunipikia??😯
Just joking brooo dont takw itNakusikiliza mkuu, lakini Lenie amesema unanidanganya, hana hizo habari.
ID yako ya zamani inaitwaje?Kumbe ni utani mkuu, afadhali maana nilihisi hapa selfika ni mpaka malipo.
Lakini Nashukuru sana umefanikiwa kunikamata.
Punguza emoj
Sawa mkuu, asante sana.Just joking brooo dont takw it
Ipi mkuu?ID yako ya zamani inaitwaje?