Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahahhahaha babu kwani nibi akutoshi
 
Sema vijana wengi kinachowacost ni kushindwa kujiamini na kupenda pisi kali zenye gharama aka wadada wa mjini. Hapo lazima waisome namba
Hahaha................hiyo kujiamini ilikuwa Enzi ya Zali la Mentali, siku hizi kupata salamu ya Mwanamke mzuri lazima unukie vizuri na uning'inize funguo za baiskeli πŸ€ͺ

Ukikutana na sisi Wakulima tunanukia jasho tu la shambani hata confidence ya shake hands 🀝 inapotea πŸƒπŸƒ
 
Mbona sisi wengine hatuna gharama, tunaangalia upendo tu na attention yenu kwetu.
Ila nyie mnatanguliza hela, hapo sasa mnafanya tupende hela zenu kabla ya kuwapenda ninyi... yaani mnatukonfyuziiii hamjui tuπŸ˜…
 
Hahahaha.................jioni nitakuwa na semina na Vijana, hoja yako lazima tutaijadili kwa kina.

Kumbe ni wao wenyewe ndiyo wanakosea, Point taken πŸ€πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…