Selfika na JF: Snap it. Show it

Si ndo hapo na wazee wenzao hawatutaki vilevileπŸ˜€
Huyo atakua sio mzee Walai mzee hawako hivo buana!! 😁Itabidi ubonge na babuu Grahams akuunganishie kwa mzee mwenzie 🀠🀠 Au kama yee anaweza kukufanyia wepesi si nilisikia wazee wa zamani walioa wake wengi πŸ€ πŸ€ πŸ€ πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
ndio mkuu.... binafsi naamini kuna wanawake wanaona beyond the wallet.... nashangaa watu wengi hawakubaliani na mimi
Ni tatizo ambalo wanaume mmelitengeneza wenyewe na linawaumiza wenyewe.

Pesa inaweza kushawishi mtu awe na wewe kimaslahi ila hakuna atakaekupenda sababu ya pesa ,iwe mwanamke au mwanaume.
 
Hahaha...............hizo habari za michepuko wanazo Vijana, sisi Wazee tumetulia tu πŸ€ͺ

Kwanza huduma yenyewe kuipata ni hadi Jogoo awike, Jogoo mwenyewe anawika kwa mwaka mara moja tu masikini siye πŸ™ŒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Nyumbu Anasemaga Ukiona mzee mwenye hela katulia muite mbwaaa amekaa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰paleeeπŸ˜πŸ˜‚!
Labda awe anaumwa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…