Selfika na JF: Snap it. Show it

Bikra wee yanini na umewowaa grampa nawee😁😁!

Sikuhzi kizazi kimeharibikaaa vibinti havina si bikra ya mbele wala yanyumaa ni mtihani kwakweli 🀠!
 
Hela zitafutwe sana ila sio kwa kigezo cha kufurahisha & kupata wanawake.
Bila hela siku hizi kuna mwanamke utampata kweli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... miaka mingi imepita dada mmoja kaja kaniambia nimekupenda ulivyo sina shida na hela hataa.. weee nilivyojitusua mwezi mmoja nilikoma.. kila simu ilikuwa inakuja na invoice πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huamini eeh 😁

Bahati nzuri niliwahi kuonja mapishi yake kabla hajanipa Kibuti, vinginevyo Babu yenu ningekuwa nimepoteza maisha kwa stress 😩 πŸ˜ͺ πŸƒπŸƒπŸƒ
Kama ulionjaa Safii sanaa huo ndio uanaumee sasa!🀠!
 
Pesa Ni mtihani kwakweli Mungu atusaidie wanawake!!
 
Bikra wee yanini na umewowaa grampa nawee😁😁!

Sikuhzi kizazi kimeharibikaaa vibinti havina si bikra ya mbele wala yanyumaa ni mtihani kwakweli 🀠!
Nilikuwa natolea mfano tu Mjukuu, sisi miaka yetu Bikra zilikuwa zakutosha.

Siku ya kwanza unaenda kulala naye huyo Mkeo, basi utakuta Wakwe wameandaa kitambaa cheupe kitandani kwaajili ya kuangalia matokeo.

Wakikuta ipo, utasikia Vigelegele huko nje, na kama hukumaliza kulipia Ng'ombe za watu unatakiwa mapema kesho yake mpeleke ng'ombe za watu πŸ€—πŸƒπŸƒ
 
Zama zimebadilika sana babuu vibinti mnaviharibu mapema sanaaa unategemea bikra itoke wapi 🀠!
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ni kujisalimisha tu.. ndio pona yetu hata moyo unakuwa huru
Ni kweli, muhimu huyo utakayejisalimisha kwake aweze kukuvumilia mapungufu yako.

Mambo ya Vibamia na Kimoja chali, yanatutesa sana Wanaume.

Ukikutana na Mwanamke anajua kusema, atasema kwa majirani na mashoga zake wote, utatamani ujifukie ardhini kuepuka aibu πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…