mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
sasa ukitafuta hela haimaanishi kwamba utaipata, kwahiyo ubaki mpweke??Lazima utumie hela kwa mpenzi wako hasa kumtunza na mahitaji yake.
Kama utashindwa kumtimizia mahitaji yake, nina hakika kuna watu wataingia kati kukusaidia hayo majukumu hivyo kukufanya wewe kupoteza influence kwake
Kumbi kumbihahaa !Walimu wako na upendo Sana!
Pale hall 5 walikua wanapita wawili wawili Kama kumbi kumbi/ na wengi waliowana kabisa
naogopa sana kitaa... natamani niunganishe hadi masters niendelee kula ugali wa shkamooπNo , usiache soma tu upate cheti tukukaribishe kitaa huku tukisubiri serikali imalize kuajiri miaka ya nyuma .
Igweeeeeeeeeeeeehh Wazeee igweeeeeeeeeeeeehh π€!Lazima utumie hela kwa mpenzi wako hasa kumtunza na mahitaji yake.
Kama utashindwa kumtimizia mahitaji yake, nina hakika kuna watu wataingia kati kukusaidia hayo majukumu hivyo kukufanya wewe kupoteza influence kwake
Okay vizuri , hutochoka ??naogopa sana kitaa... natamani niunganishe hadi masters niendelee kula ugali wa shkamooπ
Sifa kuu ni kuzoomKumbe umeona aiseee πππ
Niliwahi kupewa kibuti cha kushtukiza na mtoto wa aliyekuwa mpishi Ikulu ya Muingireza miaka ile ya Ujana.Kibuti cha kushtukizwaπππ€£π€£π€£!
Weee babu ukiwa na pesa si ndo unaheshimikaa lakinii unashobokewa sanaa,, Unalala na mwanamke yeyote unaemtakaaaa akupende asikupende sio shida zakooo ππ unabadilisha nyapu tani yakooo ππππ
Shikamoo π°π°π°π°π°π!
Hela zitafutwe sana ila sio kwa kigezo cha kufurahisha & kupata wanawake.sasa mkuu hela haziko guaranteed.... kutafta pesa kwa ajili ya wanawake ni utumwa
serious ???nitachoka ndio niko diploma ujue π
BAED au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbi kumbihahaa !
Walimu Wengi hatunaga mambo mengi kabessaa Tumejiridhikia naharee zeityyuuu wenyewe[emoji16] Au nasema uongo Aaliyyah
Hahah Kiukweli walimu watunaongoza kwa cohabitation vyuoni[emoji1][emoji3526]!
ugali wa shkamoo mtamuπ mtaani ni kufa na kuponaserious ???
nimeanzia diploma pia
kusoma 5 years sio mchezo
tena uunganishe na masters
Ni kweli sio kwenye kila utafutaji utafanikiwa, siku ukipata hicho kidogo hakikisha una mfurahisha kwa kumpatia mahitaji yake na walau fedha kidogo ya kutumia.sasa ukitafuta hela haimaanishi kwamba utaipata, kwahiyo ubaki mpweke??
khakhakhaaaa....!Niliwahi kupewa kibuti cha kushtukiza na mtoto wa aliyekuwa mpishi Ikulu ya Muingireza miaka ile ya Ujana.
Kutokea hapo nikajiapiza liwe jua au Mvua lazima niitafute hela popote ilipo.
Eendiwoooooooo shoss akee!BAED au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio mkuu.... binafsi naamini kuna wanawake wanaona beyond the wallet.... nashangaa watu wengi hawakubaliani na mimiHela zitafutwe sana ila sio kwa kigezo cha kufurahisha & kupata wanawake.
Amen πhongera sana babu , anza na hao .
watakuwa vijana bora kabisa
ndio maana suicide rate ya wanaume inapanda πNi kweli sio kwenye kila utafutaji utafanikiwa, siku ukipata hicho kidogo hakikisha una mfurahisha kwa kumpatia mahitaji yake na walau fedha kidogo ya kutumia.
Kupata mwanamke asiye muhitaji wa fedha kwasasa, imekuwa vigumu kama kupata Bikra miaka hii
πHela zitafutwe sana ila sio kwa kigezo cha kufurahisha & kupata wanawake.
Huamini eeh πkhakhakhaaaa....!