Ilikua fiber internet ???π³π³π³4mbs bado ndogo sana.. nishanya kazi sehemu mzigo ulikuwa unatembea hadi 500mbs ndio walinifanya kuchukia internet ya mwendo kobe..
Dr Lizzy fanya namnaaaView attachment 2630757
Mzigo unakuja wa kutoshaaaIlikua fiber internet ???π³π³π³
Hii kwa matumizi yangu sio mbaya sana...
π€©π€©π€©π€©π€©π€©
Ngoja Mjep alete kale kafurushi π° tuone kama zinatosha!!!
Nina mihela sio hela chiefilikuwa kwenye Data center kubwaa kabisaa Tanzania...
Mjep mwenyewe sidhani kama hata ana hela π€£π€£π€£
itakuwa kheri kabisaaa na sie tupone machawa π π πNina mihela sio hela chief
Wewe tulia utaona mzigo nitakaoshusha
no , situmiiwewe hautumii vilevi....
dahπ unadeal vipi na mawazo...no , situmii
Sinaga wa kumdekia kabisa , deka tu mama enjoy life ndo hili .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kuwadekea ninao jamani nisiseme uongo, na uzuri wananielewaaa.
Aseeeeeh poleee sanaaa, sasa huyo dereva hadi atake kukutoa sikio alikua haoni, lol.
Sinaga mawazo kihivyodahπ unadeal vipi na mawazo...
nilikua naona alchohol ni ishu, saivi nakazana kuachaπ alchohol is overrated....Sinaga mawazo kihivyo
naenda sehemu iliyotulia
nasali au naenda kutembelea watoto..
ooh pole rafiki , punguza kidogonilikua naona alchohol ni ishu, saivi nakazana kuachaπ alchohol is overrated....
marafiki wenyewe hovyo kama mimiπ nataka nikiwa free nijiunge na support group ya kuacha.... naskia inasaidiaooh pole rafiki , punguza kidogo
tafuta rafiki unayemuamini nakumwambia mambo yako
hii inasaidia sana , try it .
Omba Mungu akupe watu wa kukushika mkono .marafiki wenyewe hovyo kama mimiπ nataka nikiwa free nijiunge na support group ya kuacha.... naskia inasaidia
sasa huyo mtu atanisaidia kwa kusikiliza story yangu tu, au atakua ananifuatilia mbona kama sijaelewaOmba Mungu akupe watu wa kukushika mkono .
inawezekana , Put your confidence in him .
Nothing is too hard for the lord , mwamini tu anaweza .
kuna watu hapa duniani ni wazuri sana . wana mioyo mema mno .
hapana hakufuatili , find a mentor au unaweza tafuta mtu ambaye yupo rohoni sana .sasa huyo mtu atanisaidia kwa kusikiliza story yangu tu, au atakua ananifuatilia mbona kama sijaelewa
wacha nilale, ahsante tutaendelea kesho ikiwezekana....hapana hakufuatili , find a mentor au unaweza tafuta mtu ambaye yupo rohoni sana .
katika maisha twahitaji guidance either spiritual au kimaisha .sasa huyo mtu atanisaidia kwa kusikiliza story yangu tu, au atakua ananifuatilia mbona kama sijaelewa
Goodnightwacha nilale, ahsante tutaendelea kesho ikiwezekana....