National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
basi tuzijumlishe alafu ndio tule mabataaa ya hatari 😅😅 hadi ziishe bata wote watakuwa wameishaSio nile zangu, ule zako alafu ndio tule za pamoja???😆😆😆
basi tuzijumlishe alafu ndio tule mabataaa ya hatari 😅😅 hadi ziishe bata wote watakuwa wameishaSio nile zangu, ule zako alafu ndio tule za pamoja???😆😆😆
Na nyie hua mnapeana support Sana wanaumeNilishapoa alafu alikua ni homeboy kwahyo nikaona nisimkazie wa nyumbani
Bora!!! Maana ukimchosha kidogo tu nakunyang'anya!🤨Sisi watu wa mapenzi yalikozaliwa Ni mwiko kuwachosha watoto wa kike.
Usinisahau 🤩Nitakutag
😂😂TenaaUsinisahau 🤩
mpaka kusechiwa mfukoni huwa nasechiwa nisije nikawa nimeficha baadhi hahahaHua unatuma na ya kutolea?
😂😂😂 Kuku watachukia mkila sana Batabasi tuzijumlishe alafu ndio tule mabataaa ya hatari 😅😅 hadi ziishe bata wote watakuwa wameisha
Enzi hizo za koziwekiNa nyie hua mnapeana support Sana wanaume
Yule dogo chefu sana yaani 😂😂😂Eee huyu huyo😀😀
Ntafanyaje sasa na sura ni ya mjomba, miguu ya mama.😔Strength yako ni mguu? Naona flat tommy 🥰
Na tena😅 I'm addicted to youU😂😂Tenaa
Wewe😂😂mpaka kusechiwa mfukoni huwa nasechiwa nisije nikawa nimeficha baadhi hahaha
Mjomba ni mama hope utakua na bebe face👌Ntafanyaje sasa na sura ni ya mjomba, miguu ya mama.😔
😅😅😅😅 nao wataliwa ingawa watakuwa mwisho mwisho.. au tutakuachia Mjep ale kuku😂😂😂 Kuku watachukia mkila sana Bata
Mimi sio harmonize DrBora!!! Maana ukimchosha kidogo tu nakunyang'anya
sio mfano, huyo Mjep atoe hela kwanza tena Yen.. aache story nyingi..Nionyeshe mfano 🙂
😍 Mna pepo yenu 😋Ntafanyaje sasa na sura ni ya mjomba, miguu ya mama.😔
Sawa....ila walabata watatutafuta watupige watuue!🤣🤣basi tuzijumlishe alafu ndio tule mabataaa ya hatari 😅😅 hadi ziishe bata wote watakuwa wameisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Una balaaa ankoliii.mzigo unatoka kama uji yanii shwaaaaa.. unajaza ka kikombe kadogo [emoji28][emoji28]