Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,818
Mimi pia napenda heka heka!Easy come, easy go!!!
Raha inatokea huko huko kwenye kushughulika.🙂
Yani nisumbuliwe mpaka Basi
Hivo upele umempata mkunaji
Mimi pia napenda heka heka!Easy come, easy go!!!
Raha inatokea huko huko kwenye kushughulika.🙂
Na Ile kupigwa exile😂😂Na kulala kwa masela
Basi tutaringishiana in 2 weeks!!😎Dr Lizzy ... huku napo nime pa miss .. ingawa ndani ya wiki mbili nitakuwa hukoView attachment 2630680
Ila atazitafuta bado ana mvua mbili na xmas mojaNakazia
Kushindia mihogo 🤣🤣Na kupiga pasi ndefu😂
Mzee wa dislike kesho ana testi chuoni😀😀Watoto wa mama wamelala, eti wanaogopa kesho ni j3. 😂
wee nakula vizuri😅 mbeya cheap sanaNa kupiga pasi ndefu😂
I like itBasi tutaringishiana in 2 weeks!!😎View attachment 2630685View attachment 2630686View attachment 2630687
Hana bandoMzee wa dislike kesho ana testi chuoni😀😀
😂😂 Nlishampisha msela na jimama lake saa saba usiku alafu ndio ilikua Mara yake ya Kwanza kuja kulala kwangu. Usela n ujingaNa Ile kupigwa exile😂😂
Ila wanaume mna mahangaiko sana
We usije kumchosha mdogo wangu.🙄🙄Mimi pia napenda heka heka!
Yani nisumbuliwe mpaka Basi
Hivo upele umempata mkunaji
Jaman usiku wote huo ukaenda wapi sasa🤣😂😂 Nlishampisha msela na jimama lake saa saba usiku alafu ndio ilikua Mara yake ya Kwanza kuja kulala kwangu. Usela n ujinga
Inaitwa power bank sio mihogoKushindia mihogo 🤣🤣
Hapo hapo anataka akapige excel Hostel
Disco ndo mwisho wa reli huyu mdogo etu atafeli😂 anaacha kukazana na masomo anakuja kusumbua humu Jana tu nimekula dislike 117Na kucarry juuu
haha kwanini nife nakihoro pisi nikiielewa?We huzichapi au ni good boy?
tuanze kwako basi tuzitumie hela zako, zikiisha tuanze zangu 😉Basi tutaringishiana in 2 weeks!!😎View attachment 2630685View attachment 2630686View attachment 2630687
Nipo chief navizia selfie hapa kimya kimyaMjep umehama kijiwe au nikuletee mzigo nimevuna bilinganya
Ntatupia tu usijali 😄🍻Tupia ya zamani.