Maandishi ya busara kama uliondika ndio chimbuko la wachomoa betri jiefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wachomoa betri wote wanasifa za kuandika maneno mazuri sana hapa jukwaani haswa kuwatetea wanawake,
Wachomoa betri wote wanasifa za kuandika maneno mazuri sana hapa jukwaani haswa kuwatetea wanawake, [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Vers anauchomoaji upi wa betri etii...Wachomoa betri wote wanasifa za kuandika maneno mazuri sana hapa jukwaani haswa kuwatetea wanawake, [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mesahau mimi jamaniendiwo
oooh goshKaribuni cha mchanaView attachment 1271990
Nitakuwa nimelalaSaa 4 kamili usiku naiweka kwa dak 2 leo
Nakazia mimi jamaniMama wenger ana kishunduu..
Hongera zake..[emoji41]
Nipo okay mkwe, rabsha tu ya siku mbili tatu...Pole sana mkwe. Nakuombea upone haraka maana nakumiss mimi.
Khaa Saint anne na Paula Paul hebu acheni uhuni,, rudisheni hizo picha eti..
Am back dear [emoji73], vile nimeona wewe siha ikaimarika zaidi!!Na mimi nammiss piaa
Mkwe nikajua uko kolomije[emoji134][emoji134][emoji134]
J3 njema wapendwa wang,ngoja tukapambane na maisha ,habar ya uchaguz nan kapita nlkuwa mbali kwa jana View attachment 1271883
Hao watu wanzima ni kabila au ndio watu gani?Nimesoma chat mpaka hapa.
Wapendwa watu wanzima sio lazima tukumbushane CHAT NA PICHA.
Kwanini upoteze muda wa mwanamke unayemchukulia kawaida wakati wapo ambao unaweza wachukulia siriasi.?
Kwanini usimwache apate watakao mchukulia siriasi broh, maybe unamzibia ridhiki watu wanaompenda kwa moyo mmoja
Mr mkwepu anakusalimia sanaMesahau mimi jamani
Tunazungumzia nini eti jamani
Naona nawe umejiunga na wapinzani wa chama tawala ππππLive wire.. Ule wenye moto