Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,406
- 104,826
Mtu chake...travolta?
Punguza wivu mganga...
Mtu chake...travolta?
@Paula Paul hata kuniita kweli? Aaah!!Umesafisha macho?
UnajimwambafaiNini sasa
Unajimwambafai
Mkuu, naomba nikupongeze tu.
@Transcend uko wapi mkwe wangu? Njoo uwaone akina dula.
Mmmmmh!!!!Bdo nakukumbuka usijali loh![]()
Hahahahahaha@Transcend uko wapi mkwe wangu? Njoo uwaone akina dula.
Mkuu, naomba nikupongeze tu.
Najuwa unatambua kwanini nimekupongeza hapo town.
Acha kujimwambafai huku jeiefuu jamaniSasa si umeniita nitie ukucha?
TayariKhaa Saint anne na Paula Paul hebu acheni uhuni,, rudisheni hizo picha eti..
Acha kujimwambafai huku jeiefuu jamani
Tupia picha ya kucha basi
Mapema sana tokea saa 11Hahhaa nishaaamka mimi...vipi wewe
@Baba Swalehe kaadimika sana halafu!!Kaka Heshima yako
Ningefarijika Baba Swalehe angelikuwa anaupitia huu uzi
Amebanwa na majukumu kidogo, lakini siku sio nyingi atarejeaKaka Heshima yako
Ningefarijika Baba Swalehe angelikuwa anaupitia huu uzi