Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Pole sana mkwe. Nakuombea upone haraka maana nakumiss mimi.Afya mgogoro
Kwa ninavyo ona. Yajayo kwa upande wangu yanasikitisha.Handsome
Muone kwanzaWaoo panua niiweke taratibu maama
Wakirudisha niiteKhaa Saint anne na Paula Paul hebu acheni uhuni,, rudisheni hizo picha eti..
J3 njema wapendwa wang,ngoja tukapambane na maisha ,habar ya uchaguz nan kapita nlkuwa mbali kwa jana View attachment 1271883












Na mimi nammiss piaaPole sana mkwe. Nakuombea upone haraka maana nakumiss mimi.
HahahaahahhaKwa ninavyo ona. Yajayo kwa upande wangu yanasikitisha.
Muone kwanza
J3 njema wapendwa wang,ngoja tukapambane na maisha ,habar ya uchaguz nan kapita nlkuwa mbali kwa jana View attachment 1271883
Huamini au?😎Hahahahah daaah
Kwa ninavyo ona. Yajayo kwa upande wangu yanasikitisha.





Ndo ivo sister ila nsharudi Dar ntakucheki siku moja nilipe deni
Yaani unachekelea?😳😳 utakuwa umepokea mlungula wewe.
Pole sana, pambana tu na huo msongamano
Mkwe nikajua uko kolomijeFall...best time of the year...ila sasa hapo ni maandalizi ya winter...damnnnnn i hate winter seasons



Hata mimi amenishinda tabia.Yaani unachekelea?utakuwa umepokea mlungula wewe.