Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
NguoSimu haina uwezo bhana.
Umevaa nn sahivi mami
NguoSimu haina uwezo bhana.
Umevaa nn sahivi mami
Nguo
Lol, kama miaka mingapi?Ni wewe huyu? Bado mdogo sana!!
Kama 25yo hivi!Lol, kama miaka mingapi?
Yaani nnavyopenda nywele acha tu halaf ndio sikupewaNjoo uchukue love...
Mie zishanichoshaa
Pole sana jamani dearYaani nnavyopenda nywele acha tu halaf ndio sikupewa
We unataka wa umri gn!Humu nyie wakubwaa tu
29, hata hivyo usiamini kila unachokiona Mr.Kama 25yo hivi!
Kwa hiyo nilichokiona sio ukweli Paula?29, hata hivyo usiamini kila unachokiona Mr.
Ahsante lovePole sana jamani dear
Ulichokiona ni UKWELI nikimaanisha sio kitu cha KUFIKIRIKA Eli. Ila sasa kama ni mimi inawezekana ikawa ni kweli au sio kweli. Hili hata wewe unalijua kwamba "hautakiwi kuamini kila kitu kwenye mtandao"😊😊Kwa hiyo nilichokiona sio ukweli Paula?
Mid twentyWe unataka wa umri gn!
Nikupe nini eti jamani
Good mie saa 6 na 36dkMapema sana tokea saa 11
Huyu Dada ana rangi nzuri.Karibuni cha mchanaView attachment 1271990
Nimekuelewa Paula, sio kila ukionacho ukiamini.Ulichokiona ni UKWELI nikimaanisha sio kitu cha KUFIKIRIKA Eli. Ila sasa kama ni mimi inawezekana ikawa ni kweli au sio kweli. Hili hata wewe unalijua kwamba "hautakiwi kuamini kila kitu kwenye mtandao"![]()
